TANROAD/MANISPAA NANI ANAHUSIKA NA HII BARABARA RAINBOW-TANKIBOVU N AIBU..MH MAKONDA PITA UONE MWENYEWE

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
7,325
Points
2,000

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
7,325 2,000
KUNA MAMBO YANAFANYIKA WAHUSIKA.WANAJISAHAU WAKO KWENYE ZAMA MPYA ZA KUFANYA KAZI

MH MAKONDA HII NJIÀ YA MBEZIBEACH HUKU.RAINBOW IMEUNGANA KUTOKEA TANKIBOV HAPA BP

AJABU KUNA MASHIMO HUKO NYUMA.YALITOKEA WAHUSIKA WAKAJA NA KAGARI WAKAMWAGA ZEGE WAKAFUKIA

SIJAJUA ANAEWALIPA WATU HAWA JE WANATOKA.TANROAD AMAANISPAA

MAJUZI INA WIKI SASA.MASHIMO YALE YALE YAMECHIMBWA NA JUZI.BAADA YA WATU KULALAMIKA.TAIRI ZINAARIBIKA WAMEMWAGA KAZEGE SIELEWI WANASUBIRIA LAMI AMA.NINI??

MH RC ANGALIA WATU WAKO.WA.MBEZIBEACH TUMECHOKA HAYA MAKAMPUNI SIJUI WANAYATOA.WAPI KWA.KWELI

HAYA MASHIMO YANAENDA WIKIYA PILI SASA BILA KUANGALIA UHARIBIFU WA MAGARI YA WATU

TUNAOMBA WAHUSIKA WAFWATILIWE TUWEKEE.LAMI SIO CHANGARAWE ZA ZEGE INATOSHAA
 

Forum statistics

Threads 1,381,735
Members 526,184
Posts 33,810,328
Top