Je huyu aweza kosa Visa?

Je huyu aweza kosa Visa?

A3M

Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
84
Reaction score
179
Habari wanaJF naomba msaada wa uzoefu wenu.Kuna rafiki yangu week iliyopita alikwenda ubalozi wa Netherlands kufanya interview ya Visa ya safari ya Netherlands kwaajili Conference huko.Maswali yote alijibu vizuri sana lakini alipoulizwa umeoa? akasema NDIO lakini alipoulizwa una mtoto? akasema Hapana.Akaniuliza mimi nimpe uzoefu nikamwambia sijui,Hivyo nimerudi kwenu Great thinkers wazoefu je hiyo kutokuwa na mtoto lakini amepeleka cheti cha ndoa je huweza kuwa sababu ya kukosa viza maana mimi nilipokwenda USA nilisema nina mtoto lakini nilipata.
 
inategemea vitu vingi wanachotaka kujua ni kuwa hutalowea kule
 
  • Thanks
Reactions: A3M
Back
Top Bottom