leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,716
Nimekuwa nasumbuliwa sana na ndege waharibifu wa mazao shambani na hivyo nikashauriwa kuwa naweza kutumia drones ndogo ndogo kwa ajili ya kufukuzia hao ndege waharibifu, sasa je nahitaji kuwa na kibali cha umiliki wa drones? kama ndio process inaanzia wapi?
Ni mimi mkulima wa ufuta, mpunga n.k.
Ni mimi mkulima wa ufuta, mpunga n.k.