Msaada kwa wenyeji wa Kahama

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,663
13,488
Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel Kahama mjini. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi. Budghet yangu TZS 20,000. Asante
 
Wakuu nyuzi kama hizi huwa ni za muhimu sana, tupunguze utani kidogo maana huwa zinawasaidia wengi kwenye kujua Guest house lodges ama hoteli nzuri za kulala, Kuna site moja wamebuni wenzetu nisingependa kuitaja hapa, wameweka mtandao wa mahoteli katika nchi yao, na wanaambizana mpaka upatikanaji wa huduma zengine. na wanatoa tahadhari kama kuna tabia zisizofaa kama wizi na huwa wanataja hadi majina, hii inasaidia sana sana na utaona ni kwa jinsi gani member huwa wanashukuru sana kwa kupata info kabla hawajafanya maamuzi
 
Back
Top Bottom