MWANZA: Watu 4 akiwemo Afisa Mafawidhi wa Rasilimali za Uvuvi wauawa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Watu hao wameuawa katika vurugu kati ya Wananchi wakazi wa kisiwa cha Siza na Askari wa Jeshi la Polisi

Afisa huyo wa Kanda ya Ukerewe ameuawa baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali

Mpaka sasa chanzo cha vurugu hizo hakijawekwa wazi
 
Watu wanne akiwemo ofisa mfawidhi wa rasilimali za uvuvi kanda ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza wameuawa katika vurugu kati ya wakazi wa kisiwa cha Siza mkoani humo na polisi. Ofisa huyo ameuawa baada ya kupigwa na wananchi - Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amethibitisha
 
Kwa taarifa zisizo rasmi kutoka kwa watu wa ene hilo ni kwamba umekuwepo utaratibu wa bwana samaki na polisi kwenda kwenye maeneo hayo kuchukua hongo kutoka kwa wavuvi na siku wakikosa hela basi hukamata samaki na kuweka bughudha kwa wavuvi, sasa hii walienda na wakaomba Pesa 50,000 kwa kila mvuvi na wavuvi wakawaambia bado hawajapata ndipo mzozo ulipoanza na polisi kuanza kutumia vitisho kama walivyozoea. Mzozo ukazidi polisi wakaanza kutumia mabomu ya machozi yakaisha,wakaanza kutumia risasi za moto.

Ila ikaonekana mambo yanaanza kuwazidia huku tayari watu watatu wakiwa wameishafariki wakambilia kwenye mitumbwi yao ya injini na kwenye harakati hizo ndipo afisa uvuvi akadondoka kwenye maji kabla hajapanda na kushambuliwa hadi kifo.

Polisi wafanye uchunguzi wa askari na baadhi ya maafisa wa polisi kwenye mialo kabla hawajaenda kuwaadhibu wananchi wa kisiwa cha Siza maana najua nao wataenda kwa style ile ile iliyoleta tatizo
 
Kwa taarifa zisizo rasmi kutoka kwa watu wa ene hilo ni kwamba umekuwepo utaratibu wa bwana samaki na polisi kwenda kwenye maeneo hayo kuchukua hongo kutoka kwa wavuvi na siku wakikosa hela basi hukamata samaki na kuweka bughudha kwa wavuvi, sasa hii walienda na wakaomba Pesa 50,000 kwa kila mvuvi na wavuvi wakawaambia bado hawajapata ndipo mzozo ulipoanza na polisi kuanza kutumia vitisho kama walivyozoea. Mzozo ukazidi polisi wakaanza kutumia mabomu ya machozi yakaisha,wakaanza kutumia risasi za moto. Ila ikaonekana mambo yanaanza kuwazidia huku tayari watu watatu wakiwa wameishafariki wakambilia kwenye mitumbwi yao ya injini na kwenye harakati hizo ndipo afisa uvuvi akadondoka kwenye maji kabla hajapanda na kushambuliwa hadi kifo. polisi wafanye uchunguzi wa askari na baadhi ya maafisa wa polisi kwenye mialo kabla hawajaenda kuwaadhibu wananchi wa kisiwa cha Siza maana najua nao wataenda kwa style ile ile iliyoleta tatizo
kumbe wamejitakia
 
Wanaaza kuumbuka mchana kweupe. Ila haitakuwa jambo la kushangaza kusikia risasi zilipigwa angani halafu zenyewe zikaghairi zikarudi na kabla ya kutua chini zikabadilisha mwelekeo na kuwafuata marehemu kwa kasi ya ajabu.
 
Dada umeandika kiushabiki sana, embu tuulize tuliokuwepo kwenye tukio.
Kwa taarifa zisizo rasmi kutoka kwa watu wa ene hilo ni kwamba umekuwepo utaratibu wa bwana samaki na polisi kwenda kwenye maeneo hayo kuchukua hongo kutoka kwa wavuvi na siku wakikosa hela basi hukamata samaki na kuweka bughudha kwa wavuvi, sasa hii walienda na wakaomba Pesa 50,000 kwa kila mvuvi na wavuvi wakawaambia bado hawajapata ndipo mzozo ulipoanza na polisi kuanza kutumia vitisho kama walivyozoea. Mzozo ukazidi polisi wakaanza kutumia mabomu ya machozi yakaisha,wakaanza kutumia risasi za moto. Ila ikaonekana mambo yanaanza kuwazidia huku tayari watu watatu wakiwa wameishafariki wakambilia kwenye mitumbwi yao ya injini na kwenye harakati hizo ndipo afisa uvuvi akadondoka kwenye maji kabla hajapanda na kushambuliwa hadi kifo. polisi wafanye uchunguzi wa askari na baadhi ya maafisa wa polisi kwenye mialo kabla hawajaenda kuwaadhibu wananchi wa kisiwa cha Siza maana najua nao wataenda kwa style ile ile iliyoleta tatizo
 
Kwa taarifa zisizo rasmi kutoka kwa watu wa ene hilo ni kwamba umekuwepo utaratibu wa bwana samaki na polisi kwenda kwenye maeneo hayo kuchukua hongo kutoka kwa wavuvi na siku wakikosa hela basi hukamata samaki na kuweka bughudha kwa wavuvi, sasa hii walienda na wakaomba Pesa 50,000 kwa kila mvuvi na wavuvi wakawaambia bado hawajapata ndipo mzozo ulipoanza na polisi kuanza kutumia vitisho kama walivyozoea. Mzozo ukazidi polisi wakaanza kutumia mabomu ya machozi yakaisha,wakaanza kutumia risasi za moto. Ila ikaonekana mambo yanaanza kuwazidia huku tayari watu watatu wakiwa wameishafariki wakambilia kwenye mitumbwi yao ya injini na kwenye harakati hizo ndipo afisa uvuvi akadondoka kwenye maji kabla hajapanda na kushambuliwa hadi kifo. polisi wafanye uchunguzi wa askari na baadhi ya maafisa wa polisi kwenye mialo kabla hawajaenda kuwaadhibu wananchi wa kisiwa cha Siza maana najua nao wataenda kwa style ile ile iliyoleta tatizo
Kwa hiyo polisi walienda kuchukua rushwa wakiwa na mabomu ya machozi kabisa! Leta taarifa nyingine asee hii hapana
 
Watu hao wameuawa katika vurugu kati ya Wananchi wakazi wa kisiwa cha Siza na Askari wa Jeshi la Polisi

Afisa huyo wa Kanda ya Ukerewe ameuawa baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali

Mpaka sasa chanzo cha vurugu hizo hakijawekwa wazi

Sina uthibitisho but 9/10 walikuwa wanawafanyia dhuluma ya aina fulani wavuvi. Haiingii akilini watu wakushambulie wakati unatimiza majukumu yako kwa haki.
 
Hapo ilitakiwa polis ndo wale kichapo

Back
Top Bottom