Airtel wezi wakubwa

Airtel wezi wakubwa

Smiling killer

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2018
Posts
1,289
Reaction score
1,126
Nimenunua vocha ya buku baada ya kuiingiza nikataka nijiunge kifurushi cha mb,nimejaribu kama Mara mbili ikaja msg kuwa nijaribu baadaye,nikakaa baadaye ya muda bila kufanya chochote maana nilikuwa nasubiria hizo mb!...sasa najaribu tens naambiwa sina salio la kutosha kujiunga na hicho kifurushi!..naangalia salio wamelamba sh 3!!...wapumbavu sana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilipoteza kama elf 4. Yaani nilijiunga kifurushi cha elf 2 kutoka airtel money nikatumiwa msg nimeunganishwa, kujaribu internet kama dakika moja haifanyi kazi na nimeunga 1GB, nikapiga huduma kwa wateja wakaniambia hela itarudi baada ya masaa 24,

Nikaamua kutuma buku 2 tena kutoka m pesa kwenye airtel money ili niunge nyingine, ikatoka mpesa sasa airtel money haikufika, nikapiga voda wakaniambia pesa imeenda, nikawapigia airtel wakasema ni tatizo la mtandao wakaniambia nisubiri masaa kumi na mbili, walinizungusha kama wiki, nikaamua isiwe tabu, nikatupa line, majizi makubwa kabisa, sasa fikiria ingekua muamala mkubwa, ni hasara
 
Nilinunua kifurushi cha dstv kupitia airtelmoney hela imepotea haikufika dstv.niliwapigia hakutatua tatizo.nimeachana nao nalipia kupitia mpesa
 
Mimi nilipoteza kama elf 4. Yaani nilijiunga kifurushi cha elf 2 kutoka airtel money nikatumiwa msg nimeunganishwa, kujaribu internet kama dakika moja haifanyi kazi na nimeunga 1GB, nikapiga huduma kwa wateja wakaniambia hela itarudi baada ya masaa 24,

Nikaamua kutuma buku 2 tena kutoka m pesa kwenye airtel money ili niunge nyingine, ikatoka mpesa sasa airtel money haikufika, nikapiga voda wakaniambia pesa imeenda, nikawapigia airtel wakasema ni tatizo la mtandao wakaniambia nisubiri masaa kumi na mbili, walinizungusha kama wiki, nikaamua isiwe tabu, nikatupa line, majizi makubwa kabisa, sasa fikiria ingekua muamala mkubwa, ni hasara
Sometimes wanaibiwa nao usione kama wanakaa kimya kuna watu eanahangaika kuangalia fedha yako kwenye system na hawaioni kwa sababu imeyeyuka au mtu kaivuta bila wao kugundua..
 
Nimenunua vocha ya buku baada ya kuiingiza nikataka nijiunge kifurushi cha mb,nimejaribu kama Mara mbili ikaja msg kuwa nijaribu baadaye,nikakaa baadaye ya muda bila kufanya chochote maana nilikuwa nasubiria hizo mb!...sasa najaribu tens naambiwa sina salio la kutosha kujiunga na hicho kifurushi!..naangalia salio wamelamba sh 3!!...wapumbavu sana!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ata voda wana tabia kama izo...niliwai kuweka 1000 ile kutaka kujiunga nakuta isgmhapungua na data haikua on
Voda wana vihuduma vyao ukijiunga tu watakuwa wanakukata kimya kimya.
Mfano masimu yao wanayopiga +25509....... Ukipokea ukakata bila kusikiliza tayari umejiunga kifuatacho ITV hizi 100 100 watabeba sana
 
Duuh sijawahi ona binafsi hela ikapotea Vodacom
 
Kama unataka experience kile wenzetu waliosoma wanaita "Robbery without violence " hamisha pesa Toka Bank Account kwenda M-pesa au ununue LUKU kwa M-pesa... katika miamala kumi utafanya kapo Kati lazima mitatu-minne ulizwe au upoteze muda wako hata mwezi ukisumbuana na Vodacom CustomersService call Center.
 
Labda haijanitokea tu ila sijawahi pata changamoto na Vodacom kwenye transactions
 
Inawezekana ni wale jamaa wa kudukua mitandao, wanazidaka juu kwa juu.

Unajua sasa hivi hii mitandao nayo inashida, unakuta mtu kakupigia simu eti ni mhudumu wa voda makao makao makuu, unamuuliza na hiyo ni namba ya ofisi anajibu ndiyo, wakati namba iliyokupigia ni ya halotel.

Unamwambia nakusikiliza, anaanza kukuuliza jina lako, halafu anasema kuna mteja katuma pesa kimakosa kwako, ukimjoboa anakutukana matusi.
 
Back
Top Bottom