EneoKama Mungu angeniuliza anifanyie nini kwa mwaka huu, ningemuomba alifute shirika la Tanesco! Kuletewa umeme utafikiri unauomba nje ya nchi. Gharama zenyewe kubwa, huduma mbovu halafu hawataki kushughulikia malalamiko ya wateja. Mad!mad! So boring
Wewe hama tu bure kabisa wewe utakuwa chademaKama Mungu angeniuliza anifanyie nini kwa mwaka huu, ningemuomba alifute shirika la Tanesco! Kuletewa umeme utafikiri unauomba nje ya nchi. Gharama zenyewe kubwa, huduma mbovu halafu hawataki kushughulikia malalamiko ya wateja. Mad!mad! So boring