Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,654
Nimeona news kwa brief IPP MEDIA wamebadili CEO.

Joyce Mhavile out...wameteua mwingine.

Je Mhavile anaondoka IPP for good?

Kuna any news behind this news?

Siasa? Uchaguzi?

Kwenye EATV news Mhavile ameonekana very sad. Niko serious na hii. watu wa media humu labda kuna news behind news?

Pasco ADRIAN sap
 
Mhavile alikua akikaimu ukurugenzi The Guardian, leo kapatikana CEO mwingine Richard Mgamba aliekua mhariri wa The Citizen ndo anakua boss mpya.
 
Mhavile alikua akikaimu ukurugenzi the guardian, leo kapatikana ceo mwingine Richard Mgamba aliekua mhariri wa the citizen ndo anakua boss mpya.

Lakini Joyce alikuwa Mkurugenzi (Mkuu?) wa IPP na Radio one. Is Mkurugenzi mkuu synonymous na CEO? Naomba kueleweshwa
 
Hapana bado yupo.Kilichotokea ni kuwa Alipostaafu Mkurugenzi wa the Guardian ltd ndugu mshana,nafsi hiyo haikuwa na mtu hivyo ilishikiliwa na Joyce Mhavile kwa muda(kumbuka yeye ni mkurugezi wa ITV/Radio One siyo upande wa magazeti).Sasa Mengi amenteua Bw Richard Mgamba ku cover hiyo nafasi ya Mshana,so wakati huo mhavile alikuwa anakabidhi nafasi hiyo ya muda kwa Mgamba.

Asante.
The Boss
 
Nadhani outage yake ni ahueni sana kwa walio wengi.

Watu wengi waliopita kufanya kazi pale wanalalamika kuhusu huyo mama.
Sasa Kama huyo Muraaaaa kaingia mzigoni basi kazi sasa itafanyika Muraaaaa
 
Hapana bado yupo.Kilichotokea ni kuwa Alipostaafu Mkurugenzi wa the Guardian ltd ndugu mshana,nafsi hiyo haikuwa na mtu hivyo ilishikiliwa na Joyce Mhavile kwa muda(kumbuka yeye ni mkurugezi wa ITV/Radio One siyo upande wa magazeti).Sasa Mengi amenteua Bw Richard Mgamba ku cover hiyo nafasi ya Mshana,so wakati huo mhavile alikuwa anakabidhi nafasi hiyo ya muda kwa Mgamba.

Asante.

Basi tena anaendelea kuwa Mungu mtu
 
Subiri kidogo utasikia waziri wa habari...! Chezea bongo! Atapewa ubunge viti maalum kisha minister.
 
Back
Top Bottom