Airtel vifurushi vyenu (UNI OFA) havipo consistent kwa nini?

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,530
3,435
Ukiwa Dar es salaam kifurushi cha chuo kina dakika za maongezi na Mb za kutosha ila ukija Kanda ya ziwa unapewa ni tofauti kabisa
 
Nazani ndio wanavyofanya maana ata voda ukiwa Dom vifurushi ni tofauti kabisa ukiwa Dar na hii nimeiona kwa offer za chuo
 
Back
Top Bottom