Nakumbuka mwisho wa zama za Kikwete kulijengwa uwanja mkubwa wa ndege kule Mpanda na tulielezwa kuwa Uwanja huu utakuwa ni kichocheo cha uchumi wa Mikoa hii Rukwa na Mpanda kwa kuboresha uapatikanaji wa masoko ya kilimo na maliasili pamoja na kukuza utalii kama si kuchochea.
Wadau tupeni mrejesho wa ndoto hii ya Serikali ya CCM. Hivi ulimalizika, unatumika? Ni mashirika gani ya ndege yanaenda huko?
Wadau tupeni mrejesho wa ndoto hii ya Serikali ya CCM. Hivi ulimalizika, unatumika? Ni mashirika gani ya ndege yanaenda huko?