Nimepoteza Cheti Changu ( Academic ) Cha Chuo, Je Naweza Kupata Kingine Kiutaratibu ?

Achana nacho cha nini wakati we binafsi unajua umesoma?! Ajira hakuna vyeti vyanini?!
Ukienda polisi, watataka ushahidi kama kweli kimepotea, kama ushahidi huna wataitupilia mbali kesi yako.
Vyeti ni mzigo achana navyo tu.
 
Bado, Ndio Nataka Nive Taratibu Zinakuwaje, Tunbnzia Wapi Na Kuishia Wapi ?
Ingia website ya polisi Ripoti na kulipia kwa simu print nenda na hiyo karatasi polisi Kisha wakishakusainia nenda nayo chuo ulichosoma
 
Achana nacho cha nini wakati we binafsi unajua umesoma?! Ajira hakuna vyeti vyanini?!
Ukienda polisi, watataka ushahidi kama kweli kimepotea, kama ushahidi huna wataitupilia mbali kesi yako.
Vyeti ni mzigo achana navyo tu.
Kisa umeishia la saba?
 
Ingia website ya polisi Ripoti na kulipia kwa simu print nenda na hiyo karatasi polisi Kisha wakishakusainia nenda nayo chuo ulichosoma
Kwa utaratibu huo nitatengenezewa kingine ,,?
 
chuo gani? academic certificate ni rahis kupata kwa udsm unalipia kiasi fulani- but nenda na loss report kutoka police
 
Back
Top Bottom