mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,725
- 2,703
Waungwana wenzangu JF
Poleni na pilika pilika za maisha ya kila siku.
Katika mwitikio wa kujenga Nchi,
Kwa heshima na taadhima natafuta namba ya simu ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro.
Mwenye nayo tafadhali wakuu.
Natanguliza SHUKURANI kwa yeyote mwenye nayo...