Mfugale itazidiwa kete ya jina na TAZARA kwenye daraja

wabongo wanaasili ya kupenda mambo mapya.
hapo uzi ungeandikwa byee byee tazara karibu mfugale
 
Yaani hadi sasa kwetu mbagala wanaita daraja la Tazara, nahisi litaendelea kuitwa hivyo na wazaramo, wangoni, na wamakonde wa huku kwetu mbagala
 
Back
Top Bottom