January makamba tasi aliyemshinda mvumvi

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
379
465
Mimi mvuvi navua kila bahari,
Nimevua majodari na papa wakuchagua,
Leo kanishinda tasi samaki wakutumbua,
Ama kweli bahari kuvuma kusi ndio matilai yake.
Swali mvuvi ni nani???
 
Attachments

  • a1.jpg
    a1.jpg
    8.7 KB · Views: 34
Wengine nawateua ili niwatengue, subiri siku zake zaje,kuna wakati alinaswa ila alikuwa hafai kwa kitoe,sasa siku zake zinahesabika
 
Wengine nawateua ili niwatengue, subiri siku zake zaje,kuna wakati alinaswa ila alikuwa hafai kwa kitoe,sasa siku zake zinahesabika
Tasi anaenda kuwa mfalme wa bahari sababu samaki wote wamekubali kipaji chake atatusua tu
 
Back
Top Bottom