Wakazi wa Morogoro ni kweli Puma AG (Kampuni ya vifaa vya michezo na mavazi) wana kiwanda huko?

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Wakazi wa Morogoro ni kweli Puma AG (Kampuni ya vifaa vya michezo na mavazi) wana kiwanda huko?
-
Kiwanda hicho kinapatikana maeneo yapi?
Wameajiri wafanyakazi wangapi?
Vibarua wangapi?
Wanazarisha tani ngapi za products kwa mwaka?
Office outlets zao zipo maeneo yapi?
Branch manager ni mTanzania au raia wa kigeni?
Wanatumia advanced machines au payroll script system?
 
Hayo maswali unataka ujibiwe bure bila hata ya maji?
Umepewa kazi kaifanye, go to the field dude!
 
Mazava ile ya wachina, inazalisha jezi lkn sijui km ni Puma wale.
 
nimeona tangu jana unahangaika na hii inshu,
mbna haya mambo nirahisi sana ndugu,
puma n kampuni kubwa sana HQ zake zote around the world lazima ziwepo mtandaoni,

anyway kwa africa ni south africa tuuuuu,
do the same kwa zile kampun zote ulizouliza jana, adidas, nike n.k
kinyume na hapo utaangukia mikononi mwa makanjanja,

google
......HQ offices around the world, au ukiona shida specify kbsa africa/east africa/tanzania-dar-temeke-keko-maduka mawili-kwa asha kibajaji-chumba cha uani.
 
Asante Sana nadhani maelezo yako yamesaidia na haukupungukiwa kitu kama hao jamaa.
 
Mazava ipo opposite na saohill morogoro kwenye ile ghorofa ufu ya waziri wa fedha wa zamani
 
Back
Top Bottom