Dar -Nairobi

Dar -Nairobi

Bethania

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
339
Reaction score
130
Samahani ndg naomba kujulishwa basi zuri la Dar -Nairobi na lenye nafasi ya kutosha ndani asanteni
 
Mnasafiri ukoo mzima?
Kila bus lina nafasi ya kubeba kuanzia abiria mmoja hadi abiria 57.
Je seat 57 hazitowatosha enyi wana wa Israel
 
Halafu si ungeenda tu pale ubungo ukauliza,ukapata bus zurii kila kitu mnakimbilia jf.

Kesho utaskia jamani wanajf sijakojozwa na mume wangu Leo,naombeni ushauri[emoji57]
 
Back
Top Bottom