BAVICHA yatuma salamu za Eid kwa Waislam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,295
Instagram media - B1AqAHyAEe0.jpg


Pamoja na kwamba Taifa limepata msiba mkubwa , lakini hilo haliwezi kuzuia Sikukuu za kidini zinazofanyika dunia nzima
 
Hawajatuma. Hv mlivyotangaza kiwa maombolezo yameanza jana...kuna bemdera yoyote nchini ilipepea nusu mlingoti jana? Au mnawaona watanzania ni mapunguani?
kwa hiyo kumbe zile 3 za maombolezo zilianza jana ! hawa watu magumashi matupu !
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom