Mwaka 2011 chupu chupu nimpe rafiki yangu cheti changu cha form nne

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,551
Jamani jamani haya mambo ni magumu.

Mwaka 2011 jamaa yangu kabisa wa kijiji kimoja akaniomba nimpe cheti changu cha form 4 afanyie application ya kujiunga na Chuo cha Maabara kule DCT Mvumi Dodoma. Wakati huo mimi niliamini kabisa hakutakuwa na system ya kutrack vyeti huku mbeleni. Maana mwaka huo nilishamaliza Chuo Kikuu Kikuu cha Sokoine ( SUA ).

Jamaa aliniomba sana mpaka kidogo alie. Akatumia mpaka watu ambao ni ndg zangu kuniwashawishi. Kidogo niingie kingi. Nikastuka aisee!

Saivi sijui ningekuwa mgeni wa nani saivi.

Maana msako wa vyeti feki ulinikumba hata mimi.

Uliwahi kumsaidia mtu cheti akatoboa ? Au ulimnyima ?
 
Mimi niliombwa na mwalimu wangu wa shule ya msingi niliyekuwa namheshimu sana. Nilipomaliza form six aliniomba xheti nadhani kwa ajili ya ndugu yake. Sikumbuki hata nilikataaje kwa kipindi hicho maana xheti ninacho bado.
 
Jamani jamani haya mambo ni magumu.

Mwaka 2011 jamaa yangu kabisa wa kijiji kimoja akaniomba nimpe cheti changu cha form 4 afanyie application ya kujiunga na Chuo cha Maabara kule DCT Mvumi Dodoma. Wakati huo mimi niliamini kabisa hakutakuwa na system ya kutrack vyeti huku mbeleni. Maana mwaka huo nilishamaliza Chuo Kikuu Kikuu cha Sokoine ( SUA ).

Jamaa aliniomba sana mpaka kidogo alie. Akatumia mpaka watu ambao ni ndg zangu kuniwashawishi. Kidogo niingie kingi. Nikastuka aisee!

Saivi sijui ningekuwa mgeni wa nani saivi.

Maana msako wa vyeti feki ulinikumba hata mimi.

Uliwahi kumsaidia mtu cheti akatoboa ? Au ulimnyima ?
Kuna jamaa yangu alimaliza form four pale Kinondoni Muslim mwaka 2000.Mwaka 2003 classmate wake mmoja akaja kumuomba cheti...After one month jamaa anamwambia mwenye cheti " Kile cheti kimepotea bro"
 
Dah ningekua mim ndo mwenye cheti jamaa ningemtandika ngumi 2 kavu za pumbu ili akili imkae sawa na angeenda kutafuta cheti alikopoteza kumamae
 
kwani hivyo vyeti vinasaidiaga nini?,hasa kwa mkulima kama mimi,changu kilienda na mafuriko
 
Kuna jamaa yangu alimaliza form four pale Kinondoni Muslim mwaka 2000.Mwaka 2003 classmate wake mmoja akaja kumuomba cheti...After one month jamaa anamwambia mwenye cheti " Kile cheti kimepotea bro"
Vita ya tatu ya dunia hii hapa naiona

Aisee jamaa alijibu vipi ? Au Nini kilifata baada ya hapo?
 
Kuna jamaa alimpa cheti mshikaji ili ajiungie ujeda..sijajua nini kiliwasibu
 
Nadhani nyie mtakuwa wahenga tena vikongwe hasa, maana waliomaliza elimu ya sekondari kuanzia mwaka 2009/2010 vyeti vyao vina picha ya mhusika.
Je, inawezekana vipi kufoji kirahisi hivyo.
 
Kuna jamaa yangu alimaliza form four pale Kinondoni Muslim mwaka 2000.Mwaka 2003 classmate wake mmoja akaja kumuomba cheti...After one month jamaa anamwambia mwenye cheti " Kile cheti kimepotea bro"
Hahahaha sijui ningemfanyaje aseee
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom