Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki . Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
1 Reactions
4 Replies
129 Views
Watu Zanzibar kama mjawahi kukutana nao unaweza kujua ni watanzania. Ila hawa watu wapo kwa vyovyote kujionesha sio watanzania hata kuvaa bendera za kenya. Ili jambo sikuwahi kufikiria miaka...
2 Reactions
1 Replies
108 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa kata ya Inyala Mbeya vijijini. Ni mwaka sasa umeisha tulipimishwa viwanja kwa bei ya laki 1 na elfu 30 kwa kiwanja ili tupewe hati. Lakini mpaka sasa wahusuka wamepotea tukipiga...
1 Reactions
2 Replies
212 Views
Wanawake wanapenda ngono sana sana... nimegundua kwamba, huenda wao ndo wanapenda sana ngono kuliko wanaume. kitu cha kushangaza ni kwamba huku mitaani au sehemu yoyote ukimface wanawake...
8 Reactions
32 Replies
606 Views
Anonymous
Ningependa kuanza kwa kuipongeza JamiiForums kwa huduma nzuri mnayoitoa kwa jamii kwa kutoa jukwaa la wananchi kusikika. Leo ninawasilisha malalamiko yangu kuhusu huduma za mtandao wa Vodacom...
2 Reactions
6 Replies
132 Views
Habari, Nilijiandikisha na nida mwaka kati ya mwaka 2020-2022 nikapatan namba vizuri tu lakini baada ya hapo sijawahi kupata kitambulisho changu mpaka leo. Licha ya juhudi zangu kufuatilia...
1 Reactions
3 Replies
112 Views
Kila nchi na serikali yake zinajitahidi kuwasaidia raia wao kwa kinachoendelea. Ila Tanzania ni sikio la kufa wala hata kujionesha kuwa wameguswa na kusaidia raia wao.Zaidi ya kukaa kimya kila ucheo.
2 Reactions
7 Replies
155 Views
Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji...
1 Reactions
3 Replies
120 Views
Hapa nilipo Serengeti Lager kubwa na ndogo zoto ni bei mmoja Tsh2500 ila ndogo ndio zinatembea zaidi, wanaokunywa kubwa wanahesabika!
4 Reactions
16 Replies
296 Views
Leo USA nipo na idara amabazo kwa nchi yetu hii teknolojia hata server mnazotaka zifanye kwa wakati mi naona kwa haya ni ngumu kuendesha AI. Leo nimeweka AI mfumo ndani mwangu ni sawa na kutumia...
1 Reactions
1 Replies
93 Views
Anonymous (29c2)
Wizara ya Ardhi pamoja na TAMISEMI zinapaswa kulitazama kwa makini suala la uuzaji wa viwanja kupitia mfumo wa Tausi, hususan kuhusu muda unaotolewa kwa wanunuzi kukamilisha malipo. Kwa sasa...
1 Reactions
1 Replies
201 Views
Sielewagi wazanzibar wanakosa nini hadi wanakua walalamishi sana kwene huu muungano ingawa Tz bara ndo inaumia na kutumia rasilimali nyingi kukihudumia hiki kisiwa. Najiuliza na nchi ambazo zina...
3 Reactions
6 Replies
126 Views
Wiki hii kumefanyika mashindano ya formula 1 hapa Monaco France yaliyohudhuriwa na matajiri wengi toka pande zote za dunia. Haya matajiri wetu wa kibongo mbona siwaoni huku?, maana mmezoea kuviba...
2 Reactions
7 Replies
125 Views
Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno banana ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne mpaka Sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika...
1 Reactions
5 Replies
233 Views
Wakati tukiangalia ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho kama pande mbili za sarafu moja, mfanano mkuu kati ya silver cord (kamba ya fedha) na umbilical cord (kamba ya kitovu) unadhihirika...
6 Reactions
17 Replies
272 Views
Anonymous
OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu...
1 Reactions
1 Replies
125 Views
ni kweli sisi ni watu backward sana, angalia tu mfano belfast imewaka moto kwa sababu tu mtu wao amekuwa attacked na foreigner, haijalishi kosa ni la nani lkn ile tu kujumuika wote na kumtetea mtu...
1 Reactions
7 Replies
187 Views
Kuna mambo ya kubadilishwa ili swala la ulipaji kodi kwenye makato ya risiti. Kwa nini asilimia 18 zijumuishwe kwenye mauzo na kwa nini zisijumuishwe kwenye faida niliyopata. Mfano umeagiza...
7 Reactions
16 Replies
462 Views
Online media zimekuwa na mchango mdogo katika Ukuaji wa maendeleo ya siasa na uchumi kwa ujumla hapa nchini. Nafikiri inatokana na uhuru wa kumiliki pamoja urahisi wa upatikanaji wa taarifa za...
7 Reactions
25 Replies
264 Views
Anonymous (ad24)
Mamlaka ya Huduma ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, imeshindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi wake kwa kipindi cha zaidi ya wiki mbili sasa. Wananchi wa kata...
2 Reactions
3 Replies
121 Views
Back
Top Bottom