Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini.
Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi.
Je? Kuishi ni bahati TU.
Maana kama mabasi...
Hapo vip!
Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa.
Mimi...
Wachina tuwapongeze kwenye angle tofauti bila kusahau simu zao ingelikua tunawategemea wazungu tu adi sasa nokia za viswaswadu tungenunua 200k (bado nokia wana viswaswadu vya 120k leo 2026 nadhani...
Tulikotoka ni wachache sana walikuwa na uwezo wa kununua iphone latest matoleo mapya ya milioni 3 hadi 6
Ilikuwa ni risk kubwa sana kuweka simu hizi dukani kwasababu hakukuwa na soko la uhakika...
Wakuu,
Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash...
Ili swali nimeweka hapa naona wale wana ccm wanakwepa sana kujibu.
Wanajua Afghanistan ilikuwa maskini sababu ya urusi.
wanajua kwa kiduku ni sababu ya urusi.
Yugoslavia mpaka kuvunjika ni...
Yaani mnapenda kujipa umuhimu wa bure tu.
Weekend mmekaa hamna kazi, jumatatu mnaamka mnajifanya mpo serious. Mnafunga barabara upande mmoja zaidi ya masaa 24. Serious Morogoro Road mnaifanyia ivo?
Kwa wastani katika watu 10 wenye umri wa kufanya kazi karibia watu 8 ni tegemezi !
Wanaofanya kazi waheshimwe sana, serikali nayo bado imelala kuhamasisha uzazi wa mpango.
Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu...
Naanza kwa kuwaponda viongozi wanaosafiri kwenda nchi za nje na kisha kurudi wakiwa na mashudu kichwani.
Ina maana gani ya kwenda nchi za watu mkarudi kichwa cheupe hata mjifunzi makosa au mbinu...
Mitandaoni ikiwemo majukwaa makini ya majadiliano kama humu JF utagundua kuna kampeni za wazi, kubwa na zilizoratibiwa vizuri kuchochea chuki za kidini hasa baina ya waumini na waamini wa dini...
Kila binadamu dunia kuna kitu ambacho anapendelea kukifanya bila kujali icho kitu kina madhara katika nyanja tofauti tofauti kijamii,kiuchumi na kifamilia mathalani akifanya icho kitu anapata...
CCM kwa sasa uwelekeo wenu baada kukipa chama jeshi la polisi na jeshi la nchi.
Ila na wakumbusha rwanda mpaka ilipofikia 94 ndio ikatazamwa dunia nzima.
Sio hapo ila CCM bado mjajifunza...
IGP Mstaafu Omar Mahita "mshtakiwa yeyote kaingia katika jeshi la kaingia polisi kwenye lockup kapoteza maisha tunafungua inquest".
Anasisitiza kuwa: "kifo chochote cha mashaka unafungua request...
FOR SALE
Price Tsh 570m
Sqmt 900 full title deed
GOBA MAGHOROFANI
4bedrooms
Karibu na lami
Mtaa Mzuri Sanaa
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#houseforsale #realestate #goba #daressalaam...
Visa vya nchi za Ulaya ngumu kupata
Wawekezaji ndio wale wakoloni
Wamisionari ndio hawa wanasema tujifunze lugha zao kama kiarabu, kichina na kirusi
Manamba ndio sisi tunafanya kazi viwanda...
Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki .
Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
Watu Zanzibar kama mjawahi kukutana nao unaweza kujua ni watanzania.
Ila hawa watu wapo kwa vyovyote kujionesha sio watanzania hata kuvaa bendera za kenya.
Ili jambo sikuwahi kufikiria miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.