Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

👉 Ajali iliyowahusisha wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent mwaka 2017 ni moja ya matukio yaliyoligusa taifa kwa huzuni kubwa. Tukio hilo lilitokea katika Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, na...
0 Reactions
3 Replies
205 Views
Nimeikuta hii huko Youtube. https://youtu.be/TdpZMM5cbo4?si=BQFl2tp0WEveObmJ
1 Reactions
12 Replies
191 Views
Inasikitisha mno. Pamoja na kuwa na Afcon 2027. Ila maajabu hakuna direct flight toka Dodoma to Arusha. Air Tanzania, hii ni nini?? Yaani unatoka Dom, ili uende Arusha, lazima uwende Dar...
4 Reactions
8 Replies
176 Views
Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao...
10 Reactions
35 Replies
515 Views
👉 Matukio ya vurugu yaliyotokea Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ni miongoni mwa matukio yaliyoacha maumivu makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Mgogoro huo ulitokana na mvutano...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Tafuteni hela nyie watoto wa kiume Uzembe wenu ndio unawafanya mtegemee mali za urithi na kuanza wivu kwa wadogo zenu. Bado naendelea kusema, na nitazidi kusisitiza kila siku, listen to me...
4 Reactions
46 Replies
542 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa onyo kali kwa waombaji wa mikopo, ikisisitiza kuwa haitavumilia vitendo vya kughushi nyaraka kwa lengo la kujipatia mikopo isivyo halali...
3 Reactions
17 Replies
570 Views
Nchi nyingi zinazokaribia kuanguka au kutafuta kuanguka na weza sema tanzania nayo hipo kibra. Ukweli mchungu ila ukweli unasaidia ili kuokoa damu zinazoendelea. Steji ilipofikia ni kwamba sasa...
13 Reactions
26 Replies
386 Views
Anonymous
Wananchi wa eneo la Pasiansi jijini Mwanza wamekumbwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa takribani wiki mbili sasa, hali inayosababisha usumbufu mkubwa katika shughuli zao za kila siku. Kinachozua...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
5 Reactions
17 Replies
319 Views
Wajumbe Mbali Mbali ,wanauliza Kwamba inawezekanaje waende kwa waganga ,alafu muda huo huo uwashauri wapate pesa halali, Hio imekaaje? Twende sambamba sasa...Vijana Wangu. Kwanza kabisa, ni...
7 Reactions
43 Replies
1K Views
https://youtu.be/nv5ueMJ8N2Y?si=fXkr_OmlEpfJ-Sah
1 Reactions
2 Replies
90 Views
Kuna kelele za maji na Umeme kila kona tatizo ni nini?
1 Reactions
0 Replies
71 Views
Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini. Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi. Je? Kuishi ni bahati TU. Maana kama mabasi...
4 Reactions
19 Replies
326 Views
Hapo vip! Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa. Mimi...
14 Reactions
74 Replies
988 Views
Wachina tuwapongeze kwenye angle tofauti bila kusahau simu zao ingelikua tunawategemea wazungu tu adi sasa nokia za viswaswadu tungenunua 200k (bado nokia wana viswaswadu vya 120k leo 2026 nadhani...
4 Reactions
11 Replies
215 Views
Tulikotoka ni wachache sana walikuwa na uwezo wa kununua iphone latest matoleo mapya ya milioni 3 hadi 6 Ilikuwa ni risk kubwa sana kuweka simu hizi dukani kwasababu hakukuwa na soko la uhakika...
12 Reactions
80 Replies
3K Views
Wakuu, Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Ili swali nimeweka hapa naona wale wana ccm wanakwepa sana kujibu. Wanajua Afghanistan ilikuwa maskini sababu ya urusi. wanajua kwa kiduku ni sababu ya urusi. Yugoslavia mpaka kuvunjika ni...
5 Reactions
15 Replies
205 Views
Back
Top Bottom