Mamlaka ya Huduma ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, imeshindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi wake kwa kipindi cha zaidi ya wiki mbili sasa.
Wananchi wa kata...
Sera ni kiungo muhimu kinachotumika kukabiliana na tatizo linaloikumba jamii, sometimes matatizo hayahitaji sera ili kuyaondoa ila linapokuja jambo la kuanzishwa sera ndiyo tatizo linazidi...
Katika matukio mengi yanayotendeka hapa duniani mtu anaweza kuficha siri lakini ukimtazama machoni kuna kitu utatambua!
Moja ya Silaha kubwa sana kwa Mawakili na Wadau wengine wa haki ni...
Voodoo (pia huandikwa Vodou, Vodun au Vodun) ni dini na mfumo wa imani ulioanzia Afrika Magharibi, hasa katika maeneo ya Benin na Togo.
Baadaye uliendelea na kuenea katika maeneo ya Karibiani...
Picha nzima ya kinachoendelea kwa ufupi ni kwamba
Kuna raia kutoka Sudan alimjeruhi vibaya sana raia mmoja mzungu wa Belfast kwa kumchoma choma visu vya uso, na kuharibu jicho la kushoto la mzungu...
Dah,yan nimefika Moshi nimezunguka club zote maarufu toka juzi Moshi pazuri,grand nolasco,redstone,amuz,..lakini club hazina pisi wala nini..yan tunawashinda, hata Njombe,nenda club zetu nenda...
Khaaah!!
Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli.
Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi.
MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za...
Leo nimekumbuka wenzangu waliopta bahati kusoma USA kwa msaada wa serikali ila wote walikataa kurudi nchini.
Kuna nchi ambazo raia wake wakifa huko ni ngumu serikali yake kumchukua.
Kuna mataifa...
Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka...
Pendeni kujifunza na kufatilia maana dunia ya sasa sio makaratasi mpaka mkawekewea AI.
Na bado kuna watu wanakwambia umetoa kwenye AI ila ukimuuliza wewe umetoa wapi ?. Tupe jibu anabaki kusema...
Ukweli mchungu na mchungu kweli.Asilimia kubwa ambayo bwana mwamedi msangi anazidi kuipambania utamkuta Facebook shukrani kwake ndio watu wanatakiwa kuwa serikalini ila vilaza wapo serikalini...
Ndugu zangu vijana, kuna kitu tunakosea sana bila hata kujua. Tunapopata pesa kidogo hivi, tunaanza kujipa kauli za kujifariji“Ponda mali kufa kwaja…”“Maisha ndo haya haya…”“Ukikosa kufurahia sasa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane...
Natoa pole kwa familia na wote mlioguswa na tukio la vijana waliokoseshwa maisha sababu ambazo polisi inadai ni wivu wa mapenzi na kugundua mafuta ya taa ndio kilichowasha chumba chao.
Ila yote...
Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali...
Eid Mubarak.
Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS.
Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje?
Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa?
Na je hizo bond huiva baada...
Kijana wangu kashindwa kuingizwa idara za wahusika sababu sio kada mtiifu wala sio mwanachama wa CCM.
ili jambo lipo mpaka vyuoni na mtaani ndio maana unaona kundi la CCM wanapewa madaraka.
Leo...
Huu mtandao mpaka vpn na unashambuliwa hatari na wamekodiwa vijana wanachukua pesa zenu wakiwadanganya ni IT wakubwa ila wameshindwa .
Sababu server zake labda wawe na uwezo kuwa google.
Tumia...
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa...
Kumekuwa na changamoto kubwa ya maji mkoa wa Mwanza haswa wilaya za Nyamagana na Ilemela. Baadhi ya maeneo hayajapata maji kwa wiki mbili na mamlaka kupitia idara yao ya huduma kwa wateja zinasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.