Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa mkubwa sasa na ninaweza kuyaona mambo kwa upande wa nyuma tofauti na wengi wanavyotazama Matango pori ninayang'amua mapema kabla hayajaniteka kama baadhi ya Watanzania wa sasa walivyo...
1 Reactions
6 Replies
193 Views
  • Redirect
8 Reactions
– Replies
– Views
Naona kuna majukwaa ya zambia sijui zimbabwe kwene communities lakini sijawai ona comment au michango ya hoja ya hawa watu nje n tz n kenya?? Je kuna hap member nje na africa mashariki
2 Reactions
2 Replies
149 Views
Maana nimekuwa na kawaida ya kuvamia tu bila Maandalizi yoyote. Isitoshe asubuhi miwili kwa ujumla, hususani kinywa, unakuwa umechacha (umeusu (kama wanavyopenda kutumia neno hili kule kilwa))...
5 Reactions
21 Replies
382 Views
Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
189 Views
Sauti za vilio, hofu na taharuki zimekuwa sehemu ya simulizi za wachimbaji wadogo katika maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo, mkoani Shinyanga. Ni maeneo ambayo chini ya ardhi yake kuna matumaini ya...
1 Reactions
1 Replies
346 Views
Elon Musk na tajiri namba moja duniani kaongeza utajiri wake kwa USD 165 Billions kwa siku moja tu ambao umeupita utajiri wa Billi Gates ambao ni 103 billions. Sasa hivi utajiri wake Elon Musk...
2 Reactions
6 Replies
200 Views
Usione ubabe wa Chalamira jua kuna jambo linakuja mtabaki mkijiuliza nguvu kapata wapi. Ndio maana lolote likitokea kama litafanikiwa mtaanza kuvuta picha ya nyuma .Hii code naogopa maana inaweza...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !!! Na hawataki kutoka nnje kuja Africa ? Ukweli ni kwamba ukiwa nnje ya Africa...
18 Reactions
46 Replies
427 Views
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Singida, imewapafikisha mahakamani watumishi saba wa halmalmashauri ya Wilaya Manyoni pamoja na mzabuni mmoja kwa kufanya ubadhirifu wa...
1 Reactions
3 Replies
127 Views
Nikiwa nimekaa zangu sehemu nimetulia, Sina hili wala lile mara simu inaita kucheki namba ni ngeni, Ikabidi nisogee pembeni ambapo hakuna kelele ili niweze tuweze kuelewana vizuri, Baada ya...
8 Reactions
31 Replies
522 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa kwa baba tukiwa 4 na kwa mama ni 2 na WA mwisho. Nina elimu ya 4m6 mana nilizingua shule na sikutaka kusoma wala...
4 Reactions
22 Replies
416 Views
Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe...
18 Reactions
29 Replies
469 Views
Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo. Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
12 Reactions
50 Replies
654 Views
Tokea kupata uhuru ni CCM kipo madarakani. Taifa mumeligeuza mali ya chama.Siku nchi imekuwa corrupt ni nani mtamlaumu na mtawaeleza ninu wananchi.
2 Reactions
3 Replies
87 Views
Hivi kuna mabinti wa chuo ambao sio vicheche?
8 Reactions
95 Replies
1K Views
Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee. Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda...
7 Reactions
24 Replies
515 Views
Hapo suluhisho ni kuongeza hela uwekewe kipimo utakachoshiba. Pesa zitafutwe wakuu Mliozaliwa mwaka 1996 bado siku 3 tu kuna jambo litawakuta
18 Reactions
31 Replies
540 Views
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano, Juni 17, 2026, itakuwa siku ya mapumziko ili kusherehekea mwaka mpya wa Kiislamu, 1448 Hijiria. ====================== Rais wa...
5 Reactions
49 Replies
944 Views
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
7 Replies
256 Views
Back
Top Bottom