Msaada wa kitabibu unahtajika.

Msaada wa kitabibu unahtajika.

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,708
Reaction score
19,577
Naandika haya bila aibu ili kuokoa uhai wa mama yangu mkubwa. Mama yangu mkubwa ana umri wa miaka 68, amewahi kufanyiwa upasuaji mara tatu. Ni takribani mwaka wa pili sasa anahsi maumivu ya mgongo. Anatumia dawa anapona kidogo tena maumivu yanarudi, lakini ndani ya miezi mitatu iliyopita alijihsi tofauti. Kila akienda haja kubwa anahsi kama kitu kimechomoka, akachukua kioo akajitazama, kumbe ni mgongo huwa unatokeza kila akichuchumaa. Je tatizo hilo linatibika? Nb,mama mkubwa hajazaa tangu azaliwe.
 
Mwambieni aende hosp kubwa , akutane na wataalamu zaidi !!!!

Nb !
Kwa thread zako unaleta kila saa humu sizoeleweka , kila mara kupost post kuna watu hawatozingatia/fungua huu uzi kabisa !
Poleni kwa changamoto
 
Duhh pole sana itakuwa ni tatizo la uti wa mgongo! Awnde hospitalini tu! Nendeni hata bugando!
 
Back
Top Bottom