Shinda Hofu ili Ufanikiwe.

Shinda Hofu ili Ufanikiwe.

Deleted01

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
3,886
Reaction score
9,010
Salaam to everyone,
And hopefully all of you are doing alright.

Kichwa cha habari kinajieleza.
Kwenye maisha kuna muda Hofu ni hisia zisizokwepeka. Hisia hizi ukishindwa kuzizuia na kuzitawala, zinaweza kupelekea usifanikiwe katika jambo lolote unalolipambania kwenye maisha yako, let it be Maswala ya kazi, biashara, uongozi, mahusiano among others.

Nipo hapa kukwambia kwamba, Kama kuna jambo uliwahi kujaribu na ukashindwa, ondoa hayo mawazo ya kushindwa. Kama kuna jambo lilikuwa gumu katika utekelezaji, ondoa hayo mawazo ya ugumu kwenye utekelezaji. Jiweke mbali na hisia za hofu na mashaka na anza kuamini kwamba utafanikiwa despite ya historia yako ya ugumu uliopitia mpaka kushindwa kutekeleza ulichokikusudia.

Kwa wenzetu wenye imani, they always say kwamba Hofu ni mlango wa adui kuweza kuweka makao kwenye maisha yetu. Haijalishi ulishindwa nini na nini, jaribu tena. Hata kama kuna jambo lilikuwa gumu, shuka tu chini, nyenyekea and jifunze on what went wrong na uanze tena. Utaenda kuona mafanikio na ushindi. And always remember kwamba Quitters dont have any position placed for them in the history. Ishinde Hofu yako na uende ukafanikiwe.

Muwe na siku njema.
 
Back
Top Bottom