- Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi.
Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
Mwamba mmoja aliyejulikana kwa jina Edgar Maddison Welch mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa mnamo huko Marekani kwa madai ya kuingia katika mkahawa mmoja wa pizza mjini Washington, D.C., akiwa na...
Gent,s
Tutajua baada ya timbwili hiyo 7/7 kama yasemwayo yapo tutajua nan? Anaongoza
Wamaji walichapwa sana na Mh.. mwenda zake, wa awamu ya 3, aliwanyoosha kweli kweli bwana yule na wao...
Kuna uhaba mkubwa sana wa Maji maeneo ya Kwa Msuguri, Dar. Ni zaidi ya wiki tatu Sasa maji hayatoki na bili zinaletwa.
Watu tunanunua maji Kwa gharama kubwa.
Au ni mbinu ya DAWASA ili watu...
SWEDEN VS DENMARK
JE WAJUA
MANENO MATATU YA KWANZA
SWE
NA MATATU YA KWANZA
DEN
UKIUNGA UNAPATA
SWEDEN
NA MANENO MATATU YA MWISHO KILA MOJA UNAPATA DENMARK
DEN
MARK
Kuna jambo ambalo sijalielewa kuhusu uendeshaji wa treni ya mwendokasi (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
Kwa kawaida, safari hii hutumia treni yenye behewa 14 (ordinary). Hata hivyo...
Wahusika wa usambazaji wa Fiber kazi yenu nzuri ila imekuwa kero, nguzo zenu zinadondoka sana, nyaya zenu zinalegea mno, hebu fanyeni kitu ziwe sawa, vinginevyo tutaanza zikata ili mje kuweka...
Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu.
Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa...
Kuna majaribio ambayo naona wengi watakufa na kweli mtakufa .Hii serikali inawezekana kuna pesa zina kwenda META.
Leo data analysis inaonyesha META kabla ya kufanya kuijadili CCM inapita CCM ku...
Kuna mzee hapa JF ni mzee wetu ana mchango mkubwa wa kutupa historia ya uhuru wa tanganyika na waliofikisha naombeni mtag.
Ila kwa kuwa ndio wajanja wakatumia njia hiyo kuonesha wao hakuna...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Bishop Bikira iliyopo Kata ya Nyakato Tarafa ya Bugabo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, amekutwa amefariki dunia, baada ya kujinyonga kwa...
Salaam,
Bila porojo, inatokea nyakati feed imejaa threads zote umeshazisoma au uliziruka kwa kutovutiwa nazo, mtu unascrow hata nusu saa hakuna nyuzi mpya ni zile zile,
siamini kwamba eti nyuzi...
Mimi ni miongoni mwa watu waliozaliwa kipindi ndondi ndio mchezo mama wa dunia, mchezo uliobebwa na majina makubwa kama Mohamed Alli hadi kufikia Mike Iron Tyson mtu hatari kwenye uringo wa...
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wasimamizi wa mirathi ya marehemu mfanyabiashara Zacharia Hans Poppe, pamoja na kampuni ya ZH...