Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 249
- 469
Hv ukipewa mil 500 pembeni na hapa mpenzi wako wewe unachagua nini?
Wote mnakaribishwa@shunie
Wote mnakaribishwa@shunie
Mimi nachagua ml500 siwez kufa na umaskn kizembeHv ukipewa mil 500 pembeni na hapa mpenzi wako wewe unachagua nini?
Wote mnakaribishwa@shunie
Tumevamiwa…Hizi akili za wapi ? Mbona kama tunarudishana primary!
Easy...easy,kuna kipindi tumia muda wako kipuuzi ili akili i-relax!Mtu kama mimi nimetoka kubeba nagunia ya viazi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 11 jioni nimechoka.Sasa unataka niende gym?Hizi akili za wapi ? Mbona kama tunarudishana primary!
Bi.mpenzi mwenyewe anahitaji wigi na IST!Twaa mpunga huo!Mimi nachagua ml500 siwez kufa na umaskn kizembe
Lakini kwenye hili hapana, natumia muda kurelax kufanya ujinga sio kama huuEasy...easy,kuna kipindi tumia muda wako kipuuzi ili akili i-relax!Mtu kama mimi nimetoka kubeba nagunia ya viazi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 11 jioni nimechoka.Sasa unataka niende gym?
hahahahaha halafu nimependa avatar yako hebu weka attachment mana nataka kuipakua lkn inakataa kufunguaMbona yeye bi.mpenzi niramkuta tu.Kwani watamchinja?
Basi tuonane kesho kwenye mdahalo wa Heche na Kihingosi mkuu.Lala unono!Lakini kwenye hili hapana, natumia muda kurelax kufanya ujinga sio kama huu
Toa mlungula mkuu.hahahahaha halafu nimependa avatar yako bebu weka attachment mana nataka kuipakua lkn inakataa kufungua
Ujinga gani sasa mkuu chit chat hii tunajichangamsha tu mbona MAKASILIKOLakini kwenye hili hapana, natumia muda kurelax kufanya ujinga sio kama huu
Tumepewa uwanja wetu sisi viumbe wa meta tujivinjari JF!Wewe wa wapi?Toa kuingilio.Wewe ni mvamizi.Hili jukwaa gani kwanza usikute nipo Facebook
Ukweli umekuponya.Beba milioni 100 yako uenende njia njema!🫸🫷Zote hizo 500?. Mbona nyingi sana?. Niambie tu vipi kuhusu milioni 100 na mpenzi? Kabla hata jogoo hajawika mara 3 nitakuwa nimepita na M.100.
Nikuambie,Kwa mwanamke hata ukimtengea M.10 tu anakutema asubuhi tu
Awage "mupore"!Ujinga gani sasa mkuu chit chat hii tunajichangamsha tu mbona MAKASILIKO