Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NIPEBOOST ni mkopo wa siku 30.Usipolipa ndani ya siku 30 utatozwa faini ya 0.5% na kutozwa riba ya juu ya 0.83% kwa siku.Usipolipa ndani ya siku 60 unaweza kupunguziwa kiwango cha kukopa...
2 Reactions
2 Replies
204 Views
Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi...
1 Reactions
2 Replies
139 Views
MUANGALIE MTU ANAYEKUSHINDA... KISHA UJITAZAME WEWE Nataka ufanye kitu kimoja leo. Muangalie mtu ambaye ni bora kuliko wewe hapo kazini. Muangalie mwanafunzi ambaye kila mara anapata matokeo...
4 Reactions
6 Replies
238 Views
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Filbert Philimon (23), mwanachuo wa Chuo Kikuu cha St. John's kwa tuhuma za kuchoma chumba moto na kusababisha vifo vya watu wawili, Rebecca James na...
5 Reactions
88 Replies
2K Views
Acheni watu waishi wanavyotaka kwani ndani yake Kuna msivyovijua.
1 Reactions
5 Replies
118 Views
TAJIRI WA KESHO YUKO KWENYE MCHAKATO LEO! Usifikirie uko nyuma fikiri uko njiani. Kila hatua unayoichukua leo ni tofauti kati ya wewe wa sasa na tajiri utakayekuwa kesho. Mchakato Unauma...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tukio moja limetoka jijini Dodoma katika chuo cha st John baada ya watoto wawili wa kike wakiwa wamelala kuchomwa moto ndani na kijana mmoja...
11 Reactions
78 Replies
2K Views
👉Maria sarungi alizaliwa nchi ya Hungary Tarehe 16 December, mama yake (Veronica Marton ) kwa kuwa alikuwa raia Hungary pia kwa mujibu wa Sheria za nchi ya hiyo alipendekeza mwanae "Maria Sarungi"...
5 Reactions
29 Replies
519 Views
Anonymous
Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba katika Halmashauri ya Mpimbwe, chini ya Mkurugenzi Mtendaji Shamim Mwariko michango ya rambirambi inayotolewa na watumishi wa afya kwa ajili ya kuwafariji...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Anonymous
Wananchi tunalalamikia Arusha City Hospital iliyopo Njiro, inatumika kama hospitali ya wilaya kwa sasa, changamoto iliyopo ni huduma wanazotoa wanaweka maslahi ya fedha mbele bila kufuata...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
BRELA imekuwa mwiba kwa sasa, hawatoi huduma kama hujawapa kakitu, kumekuwa na hawa mawakala wanaosajili makampuni na majina ya biashara, sasa ukiwatumia wale wanakwambia weka na Sh 50,000 ya...
2 Reactions
7 Replies
228 Views
The diplomatic relationship between Tanzania and the United States is not built on the shifting sands of seasonal events or temporary political emotions. It is a partnership deeply rooted in...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhandisi Romanus Mwang’ingo, imekagua zoezi la ufungaji wa pampu mpya za...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu...
8 Reactions
20 Replies
390 Views
Seneta Jeanne Shaheen (ni kiongozi mwandamizi wa chama cha Democratic kwenye kamati inayosimamia uhusiano wa Marekani na nchi za nje) ametangaza kwamba kamati yake imefanikiwa kupitisha miswada...
4 Reactions
6 Replies
409 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaandaa mpango wakuhakikisha halmashauri zote nchini zinahusika kutoa mchango wa moja kwa moja wa kujikimu kwa...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Ukivuka viwango vya kutokupelekeshwa na pesa ya mtu au kununuliwa na pesa u become a Beast ni rahisi sana kupoteza heshima na utu wako pesa ikikuendesha
6 Reactions
13 Replies
158 Views
Wauzaji wa ng'ombe bora wa maziwa Ng'ombe wetu wana maziwa mengi kwa siku wanakamuliwa lit30 ...pia tuna ndama wadogo kuanzia miezi Mitano tupo makambako 0763 357 978
6 Reactions
11 Replies
235 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…