Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha.
1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili
kubana matumizi.
2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka...
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Hakeem 5 ametoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuna watu walienda kwa mama yake usiku majira ya saa sita wakimtaka afungue atoke nje wakidai wao...
Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.
Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke)...
Kila mtu ni katili kwa kweli,sema tu hujaingia ktk anga zake,nimewahi kushuhudia,kusimuliwa kuhusu matukio ya wezi kupigwa. Yaani jamaa wanampiga mtu kanakwamba wanapiga nyoka,si mawe,fimbo,na...
"Kuzaa watoto ilhali unajua huna uwezo wa kuwalea ni aina ya ubinafsi wa hali ya juu. Watoto wengi wanateseka huko nje kwa sababu ya maamuzi yasiyoandaliwa vizuri. Kabla ya kuleta mtoto duniani...
Mwakilishi wa ACT-Wazalendo wa Jimbo la Gando Pemba, Said Ali Mbarouk ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia nafasi za uwakilishi, ameitaka Serikali ya Muungano...
Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia.
Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio.
Napenda sana sehemu yenye ukimya.
Napenda...
Watuambie kuwa bunge ni kikundi cha watu wachache.
Leo uwezi kuuliza CV za mtu yoyote bila kupata kwenye tovuti ya bunge.
Uchafu wa nchi imefikia kila tovuti kuficha taarifa ya yoyote hata...
Shirika la kutetea haki za Wafanyakazi wa majumbani la Wote Sawa chini ya Mkurugenzi Mtendaji wake Angela Benedicto, limesema Serikali imetoa tangazo ambalo utekelezaji wake umeshaanza ambalo...
Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.
Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu ...
Usiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi. Kuna watu wanakesi nzito mahakamani , kuna watu wanamagonjwa mazito , kuna watu wamepoteza wapendwa wao .
Jitahidi ufanyike...
Habari
“Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo
Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na...
Jinsi walivyo chafukwa kila kona kila pembe.
Wapo kwa lolote kumlipa hata katibu wa UN au watu wakubwa waoneshe dunia kuwa kulikuwa hakuna mauwaji wa utekaji na uhuru hupo tele.
Kwa sasa watu...
Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana.
Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule...
Endapo nitafariki na halafu bado ikiwepo naomba mazishi yangu yawe live kupitia JF. Zile sehemu ambazo tu kisheria na kimila, na utamaduni wa kiislam unaruhusu.
Kuanzia kuswaliwa, watu...
Kitengo cha Biashara cha Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam, kimetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na kampuni ya ZH Poppe Limited pamoja na wasimamizi wa mali za Marehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.