Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema serikali itoe majibu kwanini bajeti ya Katiba mpya haipo kwenye Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa bungeni. Aidha, Chama cha Demokrasia na...
2 Reactions
5 Replies
234 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefuatilia mjadala na upigaji kura uliofanyika katika Bunge la Ulaya tarehe 18 Juni 2026 kuhusu Programu ya Ubia kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya kwa...
0 Reactions
11 Replies
321 Views
KINSHASA, Juni 16 (Reuters) - Bunge la Seneti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limepitisha muswada wa kubadili katiba ambao unaweza kufungua milango kwa Rais Felix Tshisekedi kuwania...
0 Reactions
7 Replies
209 Views
Jana nilikuwa na msongo mkubwa wa mawazo hadi kufikia hatua ya kutaka kujiangamiza. Japokuwa wengi walidhani nilikuwa natania, ukweli ni kwamba nilikuwa serious. Lakini asanteni sana, kwa kweli...
1 Reactions
3 Replies
127 Views
Cc Waziri Dkt. Gwajima D Anyways ngoja wengine tupate Elimu hapa ya jinsi gani Wanawake zetu wanataka tuwafanyie Faraghani. Kuna mmoja alijaribu kuifanya hii Kwangu ghafla nikaona anafyatuka...
3 Reactions
7 Replies
157 Views
Wakuu, Inasiikitisha kuona eneo la Ubungo River Side kukizidi kukua na kushamiri biashara ya ukahaba tena mapema yaani kuanzia mida ya kumi na moja jioni. Mbaya zaidi watoto wadogo Na wanafunzi...
12 Reactions
83 Replies
18K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Marekani imetoa kiasi cha Dola za Marekani milioni 375 kusaidia juhudi za kupambana na ugonjwa wa Ebola barani Afrika. Sambamba na hilo, amekosoa...
0 Reactions
2 Replies
137 Views
MH WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, SENGEREMA INALIA-JE, NANI ATASIKIA SAUTI YA WANANCHI? Kwa kipindi cha hivi karibuni, wilaya ya Sengerema imekuwa ikikumbwa na matukio ya moto yanayo sababisha hasara...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Kuna jambo linaendelea ndani ya Chama cha Walimu Tanzania ambalo linaacha maswali mazito sana kwa walimu wengi na wananchi wanaofuatilia kwa karibu. Kwa miaka mingi walimu walikata tamaa na chama...
1 Reactions
3 Replies
227 Views
Heri ya Mei Mosi wakuu! Fikiria hili: Ni wikiendi, upo kijiweni au kwenye banda la kuonesha mpira. Yanga inacheza na Simba, au labda Arsenal ipo uwanjani dhidi ya Man City. Lakini badala ya macho...
2 Reactions
6 Replies
520 Views
Nyumba ya mjane wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, Bi. Georgia Christopher Mtikila, iliyopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, imekumbwa na taharuki baada ya watu wanaodaiwa kufika nyumbani...
5 Reactions
45 Replies
973 Views
Hii weekend kiukweli nimejikuta zikisikiliza nyimbo ambazo niliwahi kuzipenda miaka ya 2016 hadi 2020 na nyingine si hata za muda sana, hadi za 2022 hapo. Dah, nikisikiliza nyimbo hizi zenye miaka...
7 Reactions
17 Replies
305 Views
Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC, limetangaza mpango wa kupunguza wafanyakazi 550, hususan katika vitengo vyake vya habari na uzalishaji wa vipindi. Hatua hii ni sehemu ya mkakati mpana wa...
1 Reactions
3 Replies
149 Views
Maskini akitaka kufanya biashara anajiulza vipi kama nitapoteza? Then anagairi. Wakati matajiri hua wanajiuliza vip kama itafanikiwa?then anachukua hatua. (rudia tena kusoma hiyo sentensi) Ukweli...
1 Reactions
0 Replies
96 Views
I
2 Reactions
1 Replies
149 Views
Anonymous
Barabara ya lami kutokea junction pale Mbalizi kuelekea Songwe viwandani ina mashimo mengi sana ambayo yamechangia kuharibu vyombo vya usafiri. Mamlaka husika imekuwa ikiziba mashimo hayo kwa...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Habarini za Leo waungwana wa jamii Forum. Mimi ni daktari mtarajiwa wa Mifugo ninayeishi dar es salaam pande za Mbezi mwisho naipenda Sana hii kazi na ndio maana huwa naifanya Kwa uaminifu wote...
8 Reactions
20 Replies
346 Views
Tunafahamu kuwa utumishi wa umma unahusisha kufanya kazi popote pale kulingana na mahitaji ya Serikali. Hata hivyo, ni muhimu pia kutambua kwamba familia ndiyo msingi wa jamii imara. Kuna...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Yesu nakuhitaji vivyo kila saa niwezeshe mwokozi nakuujia .?? Nimekosa nguvu kila saa matatizo. Hayaishii huwezi ukasema nipo sawz sasa ukafurahi unaletewa jingine hadi mtu anachoka eti
16 Reactions
47 Replies
459 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa pensheni zao kuanzia mwaka wa fedha 2026/27, baada ya Serikali kukamilisha hatua zote za kisheria na...
1 Reactions
8 Replies
365 Views
Back
Top Bottom