Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,696
- 13,757
Hii weekend kiukweli nimejikuta zikisikiliza nyimbo ambazo niliwahi kuzipenda miaka ya 2016 hadi 2020 na nyingine si hata za muda sana, hadi za 2022 hapo. Dah, nikisikiliza nyimbo hizi zenye miaka takribani 10 sasa najikuta napata hii sad pleasure
These were good old days, nilikuwa napenda mziki kuliko kitu chochote
Leo nipo free nimekuwa nikirudia kusikiliza hii nyimbo on Repeat mode, mfululizo
Post Malone ft Quavo- Congratulations 🥲
These were good old days, nilikuwa napenda mziki kuliko kitu chochote
Leo nipo free nimekuwa nikirudia kusikiliza hii nyimbo on Repeat mode, mfululizo
Post Malone ft Quavo- Congratulations 🥲