Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Afrika ni seme akili zetu zinatembea pole pole mda fulani.Hata kuwaamsha vipi kuwa kuna hatari wao bado wame lala. Mfano hapo south africa kwa kiwango cha uhamiaji ule hawa kuona tatizo siku zote...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Muharibufu wa nchi duniani wa kwanza ni serikali kisha wengine tunafata. Kwa mwendelezo huu ambao unaendelea kwa matendo na vyombo vya ulinzi vikakanusha. Hivi mnajua matokeo yake au mnataka...
1 Reactions
3 Replies
97 Views
Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran. Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran. Mashati ya Marekani yote...
3 Reactions
11 Replies
222 Views
Halotel wanashida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia sms moja mara mbili had sita, mtando piah umekuw...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Bendera ya maombolezo ya Imam Hussain (AS) kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji...
1 Reactions
6 Replies
180 Views
Kanuni nyingine ya uchumi ni kwamba, hakikisha baada ya kujiridhisha chanzo kimoja cha uchumi Kimesimama, hakikisha anzisha kingine hata kama kitakua kidogo ni afadhali uwe na chanzo kingine cha...
13 Reactions
121 Replies
1K Views
Mwakilishi wa Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026. "Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika...
3 Reactions
15 Replies
346 Views
1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha...
5 Reactions
58 Replies
666 Views
Kamwe, usijaribu kubet ili kufidia hasara uliyopata kwenye beti ya kwanza Moja ya makosa makubwa ambayo bettors wengi hufanya ni kujaribu kurudisha pesa waliopoteza kwa kubet tena haraka. Hali...
0 Reactions
6 Replies
241 Views
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinaendelea kufuatilia taarifa kutoka maeneo mbalimbali nchini kuhusu changamoto za upatikanaji wa huduma ya maji. Taarifa zinazoendelea kuripotiwa...
0 Reactions
1 Replies
74 Views
  • Redirect
Mwakilishi wa Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026.
0 Reactions
– Replies
– Views
Msaada wakuu. Nataka kufanya maombi ya cheti cha kuzaliwa ya mdogo wangu lakini leaving certificate ilipotea. Lakini kuna mdau aliniambia kuna uwezekano wa kufanikiwa kupata hicho cheti cha...
1 Reactions
2 Replies
151 Views
Marais wote waliopita kuanzia Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli hawa wote licha ya kwamba si wote walikuwa wanawakubali lakini kuna baadhi ya maeneo walikuwa wapo competent mpaka hata...
5 Reactions
21 Replies
365 Views
Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi? Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo...
13 Reactions
69 Replies
1K Views
Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma...
2 Reactions
17 Replies
222 Views
Raia wanne wa China, Deng Anqing, Fan Zhong Hua, Zhang Jianjun na Den Qiang wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo la kuteka nyara...
1 Reactions
1 Replies
120 Views
Hii sio kawaida! Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee! Youtube Insta Fb Site za wakubwa(twice) Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means...
7 Reactions
80 Replies
913 Views
RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu...
0 Reactions
4 Replies
116 Views
Back
Top Bottom