Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari, Ukweli ubaki kuwa ukweli tu kwani Mwafrika kujiita majina ya kuja kwasababu eti ni wafuasi wa dini za kuja na kuacha majina na dini zao huo ni UJINGA uliopitiliza. Hivi kweli hata wasomi...
0 Reactions
9 Replies
145 Views
Moja ya hoja nzito ambayo Sisi wahafidhina,wachunguzi wa dini mbalimbali ni kuhusu Qur’an kuwa ni ufunuo wa moja kwa moja kutoka kwa Mungu huku ikiwa na matumizi ya maneno, majina, na dhana za...
27 Reactions
953 Replies
8K Views
Anonymous
Kuna namna Shirika haliwatendei haki wateja wake. Kwa mfano, mimi niliomba kuunganishiwa huduma ya TTCL Fiber tangu mwezi wa pili mwaka 2025. Baada ya maombi yangu kupokelewa, nilipigiwa simu na...
0 Reactions
3 Replies
171 Views
Leo ukianza kuteleza au kuanguka matendo yako.Kuna wazazi watakuita na kukukanya au ndugu na jamaa watakuita na kukushauri. Kwenye maisha yetu tuna viongozi wa kirohoo mashaikh na wachungaji...
1 Reactions
4 Replies
76 Views
Serikali inapaswa kuliangazia kwa karibu zoezi la uandikishaji wa wanufaika wa TASAF katika Kata ya Nyambureti, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, hususan katika vijiji vya Gusuhi, Nyambureti na...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Hallow ndugu zangu nimeulizwa swali kwanini mtu akiwa katikati ya Ibada huwa anatoa machozi? Je anajuta, ni uchungu kwa anayoyapitia au ni imani sana? Naomba nisaidieni majibu
2 Reactions
19 Replies
203 Views
Sisi wakazi wa Mtaa wa Kisewe, Wilaya ya Temeke, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utendaji usioridhisha wa kampuni ya MACROBULUBA INVESTMENTS COMPANY LTD ambayo imepewa jukumu la...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Kuna kipindi maishani ambacho hakihitaji kubembelezwa wala kulainishwa. Ni kipindi ambacho mtu anakuwa katikati ya mapambano ya kujenga maisha yake upya. Hapa bado hujafika, bado hujaonekana, bado...
12 Reactions
12 Replies
487 Views
Hivi inakuaje pale JKCI unatozwa viwango tofauti vya kumwona daktar kutokana na kifurushi cha bima, mfano ukiwa na kifurushi cha bima cha juu wanakutoza 100,000/= ukiwa na bima kifurushi cha...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Leo na umri wetu huu wengine tuna wazazi wana mali japo tumezikuta na sisi tuna zetu. Ila leo mzazi mmoja au wote wakafariki ndio utaona ile nyimbo ya "kwa mali za baba" Kesi ni nyingi za mali...
2 Reactions
3 Replies
80 Views
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu. Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata...
27 Reactions
127 Replies
2K Views
Tayari Mfumo mpya wa Android 17 umeshaachiwa Toka Juzi Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayokwenye baadhi ya vifaa vya Android kama vile Google Pixel na baadhi ya simu...
1 Reactions
3 Replies
161 Views
Jirani yangu hapa alistaafu mpaka na sherehee tukafanya ila bado anaendelea na bonus za kutosha. Ina maana cha kuwalipa pesa kubwa mkaona sasa wabaki waendelee kuwatetea CCM mfike mpaka 2030.
2 Reactions
4 Replies
163 Views
Mwamuzi wa kati Hance Mabena na mwamuzi Msaidizi Frank Komba wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano ya NBC PL 🇹🇿 kwa kuonyesha mapungufu ya kiuchezeshaji na kushindwa...
0 Reactions
3 Replies
126 Views
Tujiepushe na tamaa ya mali au kupenda fedha Kwa namna ya kawaida fedha haina ubaya wowote, ni nyezo ambayo Mungu aliiruhusu iwepo na itumiwe ili kuendesha kushughuli zote za kijamii: Mhubiri...
1 Reactions
8 Replies
215 Views
1 Kutukaniwa mama 2 kutukanwa bila sababu 3 kujibiwa kwa dharau mbele za watu KARIBUNI WOWTE
1 Reactions
3 Replies
76 Views
Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza. Pia soma ~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa...
3 Reactions
2 Replies
252 Views
Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Kuna watu baadhi ukimwambia SHIKAMOO anafurahi wengine wanakasilika WANATAKA umwambie AMANI YA BWANA IWE JUU YAKO wengine wanataka wasalimiwe kwa kuambiwa ASSALAAM ALAYKUM? je? wengine watasema...
7 Reactions
48 Replies
500 Views
Back
Top Bottom