Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dakika kadhaa za Profesa Sospeter Muhongo akiwa Bungeni Dodoma juzi, darasa zito sana Profesa kalitoa. Unamkumbuka kwa lipi mzee wetu. Alikuwa kimya kwa muda mrefu kidogo ...
1 Reactions
9 Replies
229 Views
Mwigulu, tafadhali sana usitaje jina 'Tanzania bara' na 'Zanzibar' unapozungumzia pande mbili za muungano unaounda Tanzania, badala yake tumia Tanganyika na Zanzibar. Ukishasema Zanzibar lazima...
20 Reactions
52 Replies
633 Views
Mijadala ya ambayo sisi watanganyika tukae watazamaji na hakimu ni ili la muungano. Kwenye huu muungano kutatokea vita mbili ya wenye mali na maisha tanganyika vs wenye mali znz.
2 Reactions
3 Replies
109 Views
Hellow people, Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya Vitu vya kuwa navyo Notebook (Daftari) Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako...
85 Reactions
548 Replies
18K Views
Bunge la chini la Zimbabwe limepitisha mswada unaolenga kuongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka mitano hadi saba. Hatua hii inampa mwanya Rais Emmerson Mnangagwa kusalia madarakani...
0 Reactions
11 Replies
194 Views
Kumekua na nyuzi nyingi za kutupia picha za huzuni vichekesho picha za warembo n.k sasa huu uzi ni wa kutupia picha za kutisha Tupieni mi sjatupia ya kwangu cm inagoma NAWASILISHA
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Anonymous
Kero yangu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal, nimeomba kusajili kikundi tangu mwezi Januari 27, 2026 hadi leo kikundi...
0 Reactions
1 Replies
88 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Bassotu, Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara. Tunaomba sauti yetu isikike kuhusu mwenendo wa baadhi ya askari wa Polisi Kata ya Bassotu. Askari hao huenda kwenye vilabu...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Mahusiano ya kimataifa hujengwa kwa maslahi ya wananchi, si kwa kelele za mitandao. Tanzania na USA zimeendelea kuweka mbele biashara, uwekezaji na maendeleo.
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Tukio lilivyoanza. Julai 13, 2018 Marafiki watano walisafiri kwenda kijiji cha Handikera katika jimbo la Karnataka, India, kwa ajili ya matembezi ya mapumziko (picnic). Wanaume walifahamika kwa...
1 Reactions
16 Replies
339 Views
Wakati virusi vya Corona vinasambaa kwa kasi duniani kote, hakukuwa na chanjo wala dawa maalum ya kutibu ugonjwa huo. Hali hii ilisababisha hofu kubwa ya umma, na kuwafanya watu wajaribu njia...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Kumekua na nyuzi nyingi za kutupia picha za huzuni vichekesho picha za warembo n.k sasa huu uzi ni wa kutupia picha za kutisha Tupieni mi sjatupia ya kwangu cm inagoma NAWASILISHA
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Tusiime Holding Kampuni inayomiliki shule za Tusiime inaelekea kupigwa Mnada kutokana na madeni makubwa kutoka NSSF, Bodi ya mikopo, CRDB & NBC na malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi ambapo...
15 Reactions
460 Replies
30K Views
Bunge la Seneti la Marekani limefanya mabadiliko katika Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya Marekani na Tanzania kwa kulegeza masharti kuhusu hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
217 Views
  • Redirect
Rais Samia kumuapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama Dkt. John Jingu, Juni 19, 2026 Dar es Salaam. Pia soma - Uteuzi: Dkt. John Jingu ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akichukua...
0 Reactions
– Replies
– Views
Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda. Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani. Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Tuna shukuru ijaweza kufanikiwa hapa ila imebakisha chembe chembe mambo mengine ya utawala kwa nchi za africa. Ukifatilia sera za ujamaa ni kama kikundi cha watu wanaofaidika wao na sio wananchi...
0 Reactions
1 Replies
67 Views
Akiwa ametimiza mwaka mmoja tangu kuteuliwa kuwa Mjumbe Maalum wa Wanawake katika Umoja wa Afrika (AU), Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa ofisi anayoiongoza imeendelea kufanya jitihada...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Wanawake kwa wanaume watagawa utamu wao wakati wowote kwa mtu yeyote wamtakae..Basi nawe kijana nenda uitazame mbuye kama kijiko cha mama ntilie. Ambacho mwenzako akimaliza kula kinaoshwa nawew...
8 Reactions
31 Replies
548 Views
Wakati nasoma niliona haya kwa walimu yanayohuzunisha. 1. Kushindia mihogo ya 500 na mapera kuanzia asubuhi hadi jioni ili kubana matumizi. 2. Kuvaa nguo zilezile kila siku hadi zinapauka...
21 Reactions
117 Replies
5K Views
Back
Top Bottom