Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwakilishi wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Bi Chum Kombo Khamis amesema kuwa kwa niaba ya wanawake wa mkoa huo, wanaahidi kuilinda na kuihudumisha Muungano wa Tanganyika na...
3 Reactions
10 Replies
217 Views
Muda ni nini hasa?🤔 Kwa wengi wetu, muda ni kipimo kinachotuonyesha sasa ni saa ngapi, ni asubuhi, mchana au usiku Tunautambua kwa kuangalia saa, simu au hata mwendo wa jua Lakini je, muda ni...
35 Reactions
146 Replies
1K Views
Baada ya serikali kutoa daladala za Kimara Mbezi hali ilikuwa mbaya sana kwa pande zote, msafirishaji UDart alizidiwa na abiria waliteseka kutokana na mahitaji kuwa makubwa. Mabasi mengi yalichoka...
7 Reactions
18 Replies
426 Views
Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga...
9 Reactions
65 Replies
1K Views
Kutafutwa kupendwa na kusifiwa labda wakusifie maiti ambao wengi washatangulia mbele ya haki na kama wapo hizo pesa zitawasaidia nini sasa. Hata kama mtawapa wachache je faida ya waliojitoa...
1 Reactions
3 Replies
121 Views
Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo? Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba...
20 Reactions
152 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amesema vikosi vya Ulinzi na Usalama wilayani humo vimejipanga kudhibiti maandamano yanayotajwa kuratibiwa kufanyika tarehe 7 mwezi Julai (SABASABA). DC...
2 Reactions
4 Replies
211 Views
Kauli za kuudhi za mara kwa mara kutoka kwa wazanzibari. Sheria kandamizi za wazanzibari kwa watanganyika Ubaguzi wa waziwazi wa wazanzibari kwa watanganyika tena wazanzibari wengine...
5 Reactions
8 Replies
181 Views
Juzi kati nilitembelea watoto yatima sehemu fulani maporini huko na nikiwa huko nilihisi kung'atwa na kitu then kurudi home wakati naoga nikaona pale mahali pamevimba.Na palivimba na kuwasha sana...
5 Reactions
22 Replies
384 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, ameongoza operesheni ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 73,615,000. Shughuli hiyo ilifanyika mnamo Juni...
0 Reactions
7 Replies
183 Views
Kizimba kilichokuwa kimejengwa katika Kata ya Ramadhani, Jimbo la Njombe, kwa ajili ya kupandishwa bendera ya Chama wakati wa ujio wa Makamu Mwenyekiti, Mhe. John Heche, mkoani Njombe...
3 Reactions
12 Replies
179 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Namibia Dkt. NETUMBO Nandi- Ndaitwah, leo tarehe 20/6/2026 ikulu Jijini Dar es salaam alipowasili kwaajili ya...
1 Reactions
1 Replies
104 Views
Ofisi ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, imewakilishwa na Kerryn Mbatude katika kikao na Benki ya CRDB kilicholenga kuzindua rasmi ushirikiano wa kuwawezesha wananchi wa Buchosa kiuchumi kupitia...
1 Reactions
1 Replies
163 Views
  • Featured
Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Wanajamvi Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwekezaji kutoka china amekabidhiwa na serikali eneo lote.lenye madini ya dhahabu katika wilaya za mkinga na Korogwe. Katika maeneo ya korogwe ambapo...
2 Reactions
1 Replies
134 Views
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuacha matumizi ya silaha bandia, likisema vitendo hivyo ni makosa yanayokiuka sheria na vinaweza kuhatarisha usalama wa watu na mali zao. Akizungumza leo Juni...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Ukienda nchi za wenzetu huwezi kukuta kibanda kina katisha tiketi ndio upite. Mfano hapo ferry kwenda kigamboni, daraja la kigamboni na maeneo ambayo siyo lazima. Siwezi kukubali kusema nchi...
2 Reactions
6 Replies
95 Views
Upo uwezekano tukawa tunaona kuna zigo la misaada kwa nchi ya Tanzania kumbe fedha nyingi zinaishia mikononi mwa NGOs za mifukoni au magharibi hukohuko. Mbaya zaidi kazi kubwa wanayoifanya ni...
0 Reactions
6 Replies
107 Views
kuna kusoma wakati wakati umepata fursa na muda sahihi. Dunia ya sasa tunapoelekea mifumo ya kuendesha vifaa vingi inaelekea kutumia umeme sana kuliko mafuta kama vyombo vya usafiri. Kwa sasa...
1 Reactions
9 Replies
135 Views
Back
Top Bottom