average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7.
Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na...
Hii nchi hipo siku tutasikia somalia tulienda kukopa pesa.
Hapa nacho kiona tuna subiri majini nao waje kuleta shutuma zao nao walikopwa na huyu mama pesa.
Hivi tumefikia steji mbaya sana na...
Mkoa wa mafia muwe mnajichangamsha kama mkoa wa geita .Geita kwa matukio wanaongoza ni kiona yule polisi kwenye vyombo vya habari najua hii geita.
Mkoa wa mafia umelala sana.
1. Hospital
2. Jela
3. Makaburini
Hospitalini utajua afya ni utajiri mkubwa.
Jela utajua umuhimu wa uhuru
Makaburini utathamini umuhimu wa maisha.
Kuwa mtulivu!
Ongezeko la wafanya biashara wa vipodozi vya kung'arisha limekuwa la kutisha. Kila siku akaunti mpya Instagram, TikTok live kila saa. Bei sh 3,000 - sh 10,000. Ahadi ni "Dada, siku 3 tu unakuwa...
Ukiachana na msemo kwamba tumbo halina shukrani; hata lipewe chakula kizuri na kitamu kiasi gani, ni lazima baadaye litahitaji tena,
Ni kitu gani kingine unadhani hakina shukrani?
Umewahi...
Ndg. Dr am 4 real PhD
Sisi kama familia ya JF tunakupa pole za dhati kwa kufiwa na baba yako mzazi Allah akutie nguvu katika kipindi hichi kigumu.
Tuko pamoja na wewe.
Mzee apumzike kwa Amani...
Mfano, pombe imekuwa sehemu ya tamaduni nyingi duniani kwa muda mrefu na ilikuwepo kwa sababu zake mbalimbali.
Sehemu za kukutana na kunywa pombe mara nyingi huwa maeneo ya watu kujumuika...
Kama wewe ni mwenyeji humu ndani utakuwa na uzoefu mzuri sana juu ya wale wote ambao huwa wanaomba ushauri humu na kile ambacho huwa wanakipata.
Ushauri unapata na kusimangwa juu,si ajabu hapo...
Hata kama kwa mwaka wa fedha 2024/25 tumeingiza bilioni 260 kama kodi kwenye kamari hatupaswi kufurahia. Kwangu mimi uzinduzi wa kampuni ya betting haina tofauti na uzinduzi wa gereza. Tena bora...
Shabiby Bus boresheni huduma zenu haswa sehemu mnazopeleka abiria kula na kujisaidia.
Maafisa afya nao mfanye kazi zenu vizuri,abiria watakuja kupata madhara kiafya.Hembu kuweni na ofisi nzuri...
Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili...
Tokea kutumwa kufanya yale October 29 naona wengi au ni mimi tu nilipo.
Zamani walikuwa wanajitapa wakija na jezi zao mpaka wanapoishi.
Ila sasa uwezi kuona kavaa anatembea mtaani kwenda kituo...
Nimemsikia simba chawene kuanzisha vitambulisho vya NIDA chini ya miaka 18.
Yani kwa nilivyo safiri na kujifunza kwangu nchi za nje, Vitambulisho vya taifa vipo kwa ajili kisheria ukishatimiza...
Historia ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
1986 – Wazo lilizaliwa katika kikao cha ‘Interstate Intelligence Gathering’ ambapo iliazimiwa Tanzania na Uganda kutoa vitambulisho vya taifa kama...
Ni ushahidi uliowazi wazanzibar si wenzetu , hata maafa yaliyotokea 29 Oct wengi waliyafurahia kana kwamba ni kisasi fulani hivi.
Mbaya zaidi hata viongozi wa vyama pinzani kutoka Zanzibar wote...
Tujikumbushe vitabu vitatu.Kiukweli kama ukiinganisha unaona jinsi serikali ya ccm ilivyo.
1.kitabu cha kwanza kinaonesha utawala wakijiona zaidi ya juha.
2.Katika nchi kila kitu kinasadikika na...
Kumekuwa na michezo mingi sana ya ubashiri kwenye vyombo vingi vya habari hasa redio na television.
Michezo hii imepewa majina mbalimbali kulingana na chombo cha habari husika, mfano:
-Pakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.