Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure. Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili...
6 Reactions
27 Replies
338 Views
Hata mimi ni binadamu na nna moyo wa nyama nyama. 😫😫 Kusema ukweli ndiye mrembo niliyewahi kumuelewa baada ya kuicheki filamu moja inaitwa DOA(Dead or Alive) ya mwaka 2006. Nadhani Kuna filamu...
6 Reactions
21 Replies
364 Views
Somo la maisha: Usichukue upande wowote mpaka ujue hadithi nzima. Kuna watu wako mahiri sana katika kuwafanya wengine waonekane vibaya. Tusikilize kabla ya kuhukumu. Ukweli huwa haujipigii debe...
10 Reactions
21 Replies
246 Views
Ukoloni mamboleo kupitia Mbegu na Mifumo ya Chakula (Food and Seed Sovereignty). Bandiko ulilotuma kuhusu kulinda mbegu za asili ni somo kubwa la Usalama wa Taifa ambalo halipaswi kuachiwa...
13 Reactions
33 Replies
601 Views
Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden! Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football...
10 Reactions
37 Replies
622 Views
na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa, Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa...
1 Reactions
12 Replies
153 Views
The Government has allocated over TZS 1.12 trillion to the water sector. This investment is intended to enhance water security, expand access in both rural and urban areas and support...
1 Reactions
1 Replies
62 Views
Kilichopaswa kuwa siku ya mwisho ya kumuaga dereva bodaboda Emmanuel Mwanry kiligeuka kuwa tukio la taharuki na sintofahamu katika Kijiji cha Ngirinyi, Kata ya Levishi, Wilaya ya Siha mkoani...
6 Reactions
20 Replies
470 Views
Habari, Hili swala la kuhuisha leseni kila mwaka inaumiza wafanyakazi hasa madaktari kutokana na kwamba, pesa inayolipwa kuhuisha lesseni hiyo ni kubwa sana kwa kila mwaka. Madaktari wanazidiwa...
5 Reactions
24 Replies
384 Views
Ukifunua vitabu vya sekondari kila definition utaona inaanza "it's greek Word" hata lugha rasmi ya Binomial nomenclature ni Greek tuseme Biology na sayansi kwa ujumla lugha yake ni Kigiriki...
48 Reactions
313 Replies
43K Views
Natumai ni wazima wakuu zangu Ni siku mpya tumeweza kupata zawadi ya uhai na uzima, ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ndio mpaji wa vyote. Kuna wagonjwa mahospital, wafungwa magereza...
6 Reactions
90 Replies
937 Views
Sio kuongea ila washajiweka na mda wowote internet mtaanza kuona mitandao inaanza kuwa down au kukosekana. Joto ni kubwa na maafisa washatumwa na waliosambaza ile video mtasikia wamepotea kuhusu...
11 Reactions
51 Replies
1K Views
Kila siku nilikuwa nakimbia 10km Mpaka leo nimetimiza mwezi kwa kutembea km 25 Sasa mwezi ujao nataka kuhamia Gym Ndugu msomaji una ushauri gani kwangu?? Karibuni
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Huduma ya Usambazaji Maji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na kushindwa kutekeleza na kusimamia...
2 Reactions
8 Replies
330 Views
Wakuu, Nimeisikia hii taarifa kwamba kuna mama kajifungua watoto mapacha watano hospitali ya Taifa Muhimbili.
4 Reactions
48 Replies
602 Views
Kuhusu maisha ya Dar es Salaam. Wakazi wa Dar wanaonekana wamekonda sana . Joto na chache wa hewa ya oxygen kunasababisha watu kutokwa na jasho kila wakati, kiu kali, kizunguzungu pia ni mkoa...
30 Reactions
226 Replies
3K Views
Hivi Mwanaume Unakuwaje Boya Unayeshinda Umelala Wakuu, kuna muda inabidi tuongee lugha ya machinjioni kwa sababu hawa viumbe wanaojiita wanaume wa kizazi hiki wamezvywa mno na umama. Inakuwaje...
14 Reactions
65 Replies
1K Views
Wengi wetu hatupendi ukweli unaotusumbua. Tunapenda kinachotufanya tuonekane tuko sahihi hata kama tunajua tumekosea. Hatupendi kuwajibika. Tunapenda wapambe wanaolinda makosa yetu. Hatupendi...
2 Reactions
0 Replies
63 Views
Ndugu wanajukwaa, Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili...
1 Reactions
1 Replies
129 Views
Wananchi tusiokuwa na kadi za kupandia mwendokasi tumekuwa tukinyanyasika na kudhalilika hasa kwa abiria wenzetu tunawaomba msaada kutumia kadi zao. Mamlaka ziharakishe upatikanaji wa kadi...
4 Reactions
26 Replies
347 Views
Back
Top Bottom