Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Matendo yanayoonekana kama Dhambi lakini yanaingiza Pesa nyingi. Katika jamii yetu na jamii za kidini, kuna mielekeo ambayo inasifika kuwa ni "dhambi" lakini kwa kweli inaingiza pesa nyingi...
6 Reactions
77 Replies
602 Views
Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini...
4 Reactions
15 Replies
307 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uchukuzi na Lojistiki ya Bravo Group, Bi. Angelina Ngalula, akiambatana na jopo la wataalamu wake wakiwemo wahandisi na wasanifu majengo, Juni 20, 2026 amefanya...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Kwangu mimi mpaka sasa kama naona hii idara hakuna kitu kabisa. Mfano swala la mikabata ya ovyo,rasilimali,hatma ya nchi na mwelekeo wake mfano tu mzuri watu walishauri kuhusu haya ya uchaguzi...
2 Reactions
3 Replies
104 Views
Hapa nchini kwetu haya maneno ni majibu ya watawala na wenye mamlaka ukieleza au kuhoji majibu yao: Tuoneshe?. Una ukweli?. Thibitisha ? Umetumwa ?. Sikuelewei ? Una maanisha nini?. Wewe kama ni...
3 Reactions
4 Replies
125 Views
Leo siku ya kutambua mchango wa baba Duniani, wababa wana nafasi yao ya kipekee katika hii Dunia, Siku ya leo ni kukumbuka mchango wao mkubwa katika familia na jamii kwa ujumla. Baba wengi...
0 Reactions
4 Replies
130 Views
Walimu wanalalamikia kutokupanda madaraja(PROMOTION) na kwa bahati mbaya wakubwa wao(VIONGOZI) wa ngazi ya Halmashauri wameshindwa kuwasaidia. Mwaka 2023/2024 serikali ilifuta OPRAS na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025 VIGEZO VYA PEPMIS VI Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali imekuwa sitofahamu, ijapokuwa kwa kiasi flani serikali...
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Kuna watu wakishafika kwenye miundo mbinu mizuri wanaona wamefika kwenye mti wa pesa na mafanikio teyari. Mfano hawa vijana wanaokataa kuuza mitumba na kutembeza sigara Tanzania wanakimbilia...
2 Reactions
4 Replies
121 Views
  • Redirect
Hii nchi ni shida Kila nyanja tangu tupate uhuru Hadi Sasa ni ngumu kukuta huduma ya serikali ya uhakika na wananchi wakaifurahia. Magufuli alifufua usafiri wa Treni kwenda kaskazini lakini ndani...
5 Reactions
– Replies
– Views
Mungu wetu ni mwema sana! tunakuomba Rehema na utukufu wako,utulinde na Kila baya, na Kila adui,na Kila maradhi , na Kila madhila ya Dunia hii! Tunakuomba ututendee miujiza kwenye Nchi...
2 Reactions
2 Replies
54 Views
Yaani unajuwa kabisa hicho unacho mshauri hakina afya kwa Taasisi/taifa na kwake pia, Lakini kwasababu ya maslahi yenu binafsi mnafanya. Mambo yakienda ndivyo sivyo mnasema sisi hatuna mamlaka ya...
3 Reactions
1 Replies
77 Views
Sina muda wa kueleza sana, nimechoka. Mmeajiri madaktari vijana wanakaa wanapiga story tu vyumbani badala ya kuhudumia wagonjwa. Watu tumekaa zaidi ya lisaa tunasikia wanachekacheka tu ndani na...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Hanari zenu wanaJF Leo ni siku njingine ya dhahabu kuwapo hapa jukwaani kwa sababu ninaamini wapo ambao walitamani kuwepo hata humu tu lakini wameshindwa,hivyo ni jambo la kumshukuru sana MUNGU...
1 Reactions
2 Replies
80 Views
Habari,, Tuna Huduma mbalimbali zinazohudumia mamilioni ya wateja nchini kama vile mitandao ya simu, tanesco, mabenki nk. Ingependeza sana taasisi muhimu kama NECTA ingeweka juhudi zaidi katika...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeeleza mpango wake wa kuanzisha huduma mpya mbalimbali za kibobezi zitakazoifanya kuendelea kuwa kitovu cha weledi cha matibabu ya mifupa na...
1 Reactions
3 Replies
113 Views
Kama Mungu anajua kila kitu tangu mwanzo mpaka mwisho (anajua nani ataenda mbinguni/peponi na nani ataenda motoni kabla hata hawajazaliwa), je, kweli binadamu ana uhuru kamili wa kuchagua? Kama...
0 Reactions
5 Replies
122 Views
Wewe unajitoa kupanga bajeti, kupanga uzazi na vingine vingi ili tu, usirudi ulipotoka. Halafu wapo watu ambao hufanya maamuzi waonavyo vyema, huku wakihitaji support Kununua umeme Kodi Mtu...
1 Reactions
2 Replies
115 Views
Wakuu naombeni mnisaidie hivi mtu unashindaje vita ndani ya nafsi? Mimi Nahisi imenishinda? Kuna vitu vimetokea maishani na siwezi kuvisahau, Kuna watu wameniumiza na siwezi kusamehe, hasa hasa...
7 Reactions
37 Replies
388 Views
Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanaamasisha kuleta Vurugu, kuchoma Shule, kushambulia wananchi, Kukata watu Vichwa na kuua baadhi ya watu, na kuvamia kupora askari silaa” - DAVID...
3 Reactions
48 Replies
837 Views
Back
Top Bottom