Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani Kila ukifungua redio utasikia, "hizi si mambo zangu", "mambo zako?" nk. Kibaya zaidi wanaozungumza haya ni vioo vya jamii na ni wasomi, kwamba lazima watakuwa wamesoma kipengele cha ngeli za...
4 Reactions
43 Replies
404 Views
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Mwaka ni 1874 kabla ya wajerumani kuja kusini mwa Tanzania mkoa wa sasa njombe waliishi wabena ambalo kwa kipindi hiko lilikua ni kabila dogo. Wabena ilikua ni kabila ambalo halina mfumo ambao...
9 Reactions
138 Replies
5K Views
Jumamosi ya tarehee 20.Nikiwa nyumbani mida ya usiku masaa ya saa tano kuelekea saa sita. Nikapata shida ya dawa za mtoto ikabidi nitoke maana duka la dawa sio mbali kwa kutembea ni kama dakika...
2 Reactions
1 Replies
108 Views
TOP 10 AFRICAN COUNTRIES THAT WILL DOMINATE THE FUTURE 2 SOUTH AFRICA Industrial & financial hub 1 NIGERIA Population powerhouse & largest economy 3 EGYPT Strategic location & mega projects 5...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Hili jambo ni janga lingine la kitaifa. Watu kibao wanafakamia vidonge vya presha kama makande. Wengi tunaowaona matajiri hawapati usingizi. Ndo hao hutupa presha mtandaoni eti ukitaka mafanikio...
17 Reactions
49 Replies
1K Views
Leo nilikuwa naelekea Kigamboni kupitia daraja la Nyerere, baada ya kuvuka nilipita ile njia ya kushoto inayopitia jeshini, kabla sijaingia kwenye kile kipande cha lami hapo katikati kulikuwa na...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
"Mimi kwangu, sina mchezo na zaka. Mtu halipi zaka tunamtimua. Na nimewaambia kabisa ndio maana nimeweka milango mingi. Kama huwezi kulipa zaka tu, wai mlango wa kwanza mbele yako. Na watumishi...
5 Reactions
21 Replies
412 Views
Habari wakuu kuna taarifa nimepata kutoka kituo cha afya Isimani ikisema kuna watoto watatu wamefariki Dunia baada ya kupata sindano ya chanjo, Tunaomba kama kuna taarifa za kina Wizara ya Afya...
2 Reactions
9 Replies
238 Views
Kwanza tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndie Rais wetu.Tukishakubaliana na hilo Jambo la pili Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni binadamu kama sisi,kuwa Rais haimaanishi hawezi kukosea!Hata sisi...
1 Reactions
15 Replies
191 Views
Anonymous (0200)
YAH: UKIUKWAJI WA SHAMBUSHAMBU WA SHERIA ZA NCHI, UTAPELI WA ARDHI NA UHUSISHI WA USALAMA JIRANI NA KAMBI YA JESHI (JKT MSATA) UNAOFANYWA NA RAIA WA KICHINA Husika na kichwa cha habari hapo juu...
3 Reactions
3 Replies
202 Views
1. Mfumo wa Almasi Diamond Formation ni mfumo thabiti wa ulinzi wa karibu unaotumiwa na makomando au walinzi binafsi kulinda usalama wa viongozi (VIPs) wanapotembea kwa miguu. Mfumo huu...
4 Reactions
22 Replies
420 Views
Ndugu zangu, huu utamaduni wa kupenda harusi kubwa na zenye gharama ili hali ya pesa hatuna tatizo huwa ni nini? Unakuta bajeti ya harusi milioni 15, halafu mlengwa mwenyewe, bwana harusi...
24 Reactions
58 Replies
783 Views
Ni ndugu yangu kabisa, mtoto wa Mama yangu mdogo, kiumri yeye ni mkubwa kwangu hivyo nilimpa heshima kama dada mkubwa na kumkaribisha nyumbani kwangu kila alipotaka kuja kutusalimia mimi na mume...
8 Reactions
49 Replies
1K Views
Anonymous
Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi...
1 Reactions
6 Replies
445 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano...
2 Reactions
12 Replies
459 Views
Naona imekuwa trend siku hizi kwa Nabii, Mtume, Mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho kuitwaa Daddy! Dadii una mgeni... Dadii tukuletee chai... Dadii Mzee Fulani amekuja...
19 Reactions
106 Replies
1K Views
Bado siku 79 hadi mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia la FIFA 2026. Mechi ya ufunguzi itachezwa Alhamisi, 11 Juni 2026 mjini Mexico, na ratiba ya FIFA inaonyesha mchezo huo ni Mexico dhidi ya Afrika...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom