Barabara ya Mbezi Makonde kuelekea Baraza la Mitihani, kupitia eneo la kwa Mzee Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati wa kudumu.
Kila...
Kuna wakati katika maisha unafika mahali unatambua kuwa ukuaji wako unaweza kuhitaji mazingira mapya.
Kuhamia mji mpya si jambo rahisi.
Unaacha marafiki uliozoea, maeneo uliyozoea, biashara...
sote kwa pamoja tunaona utendaji kazi wa makonda, heko heko, ccm mbele kwa mbeleee....hawapumui wapinzani...ccm mbele kwa mbele....baada ya kumpata rais msukuma magufuri sasa ni zamu ya...
Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na...
Kama unamuamini mungu kila unachopitia ni mpango wake mungu.
Kama wewe ni masikini huo ni mpango wake,
Kama umedhulumiwa huo ni mpango wake,
Utawala wa CCM ni mpango wake,
Kama unaumwa huo ni...
Mwanza ni jiji lililokuwa likivutia kwa mandhari yake ya kipekee ya miamba, vilima na uoto wa asili. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira, huku hatua...
Kama umefika Mwanza, utaona changamoto kubwa ya uchafu, hasa kutokana na wingi wa taka za plastiki na taka nyingine zinazotapakaa katika maeneo mbalimbali ya jiji.
Mamlaka ya Jiji imeonekana...
Mzee wangu amemaliza utumishi. Kafungua madai ya kukosa ajira NSSF Mwanza, june 01, 2026. Danadana zinazoendelea hapo, hata Pele hakuwahi zicheza. Hadi leo hajalipwa.
Majibu ya mwisho yalikuwa...
Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu...
KAMA NINGEKUWA ADUI YAKO, UNAFIKIRI NINGEANZA KUKUCHUNGUZIA WAPI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Unapoingia katika uadui na mtu yeyote. Hapana shaka huwezi kufanya shambulizi lolote bila...
Taarifa zinaeleza kwamba amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Muhimbili alikolazwa tangu tarehe 13 June
========
MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha...
TANZANIA INAMBOLEZA: PIGO ZITO KWA SOKA LA TANZANIA NA YANGA SC
A Giant Has Fallen: Former Yanga SC President Francis Kifukwe Passes Away
It is with profound sadness that the Tanzanian football...
Wizara ya Miundombinu ya Ukraine imesema kuwa shambulio la ndege isiyo na rubani ya Urusi dhidi ya meli yenye bendera ya Tanzania, iliyokuwa ikielekea bandari ya Ukraine, limesababisha kifo cha...
Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kimoja hapa Tanzania.
Chuo kilitupa nafasi ya kuchagua sehemu ya kufanya field kwenye account ya SIMS, nikachagua kufanya field VETA mojawapo hapa...
Baada ya kifo mwili wa mwanadamu hukauka na kuwa mgumu kabisa. kama mwili wa mwanadamu haujahifadhiwa vizuri mchakato wa kuoza huanza saa 24 baada ya kifo...
MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar...