Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf...
4 Reactions
13 Replies
223 Views
Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii...
1 Reactions
3 Replies
126 Views
Kwako vinaweza kuwa viungo vya kawaida vya mwili Ulimwengu wa kiroho unatambua viungo hivi kama nyenzo kuu za hatimiliki ya mwanadamu, ambapo 1. Macho yanawakilisha ufunuo na maono 2. Miguu...
10 Reactions
21 Replies
460 Views
Mzuqa wanaJF! Her ya mwaka mpya tumeuona. Huyu jamaa nakumbuka alikuaga na nyodo sana. Kwake kwa nje ya fens kulikuwa nakamti flan kanaleta kivuli. Basi masela kitaa tukaweka mawe na bench...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Changamoto ya ombaomba ina historia pana nchini mwetu. Ilishawahi kuwa maarufu sana mjini. Wahenga wenzangu nafikiri mnamkumbuka legend mmoja hivi anaitwa Matonya. Alikua ombaomba maarufu mpaka...
15 Reactions
49 Replies
644 Views
Habari wana JF . Naombeni solution ya kuondoa social anxiety na kuimprove social communication, napoteza vitu vingi sana Especially real connection , kwasababu tu ya kua na ile anxiety ya what if ?
10 Reactions
63 Replies
543 Views
KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani...
6 Reactions
11 Replies
590 Views
Maneno haya nayasema nikiwa na confidence kwa maana yake nimeyafanyia utafiti kwa miongo kadhaa. Nilichukua sample za watu tofauti nikiwemo mimi mwenyewe( kimsingi nilisha wahi kuishi maisha ya...
16 Reactions
22 Replies
471 Views
Baada ya kumaliza madaraka yake ndipo kasoro nyingi kuziona kwenye utawala na kuona mbeleni kutakuwa hivi. Ni kweli kwamba yeye ndio kafikisha hapo haya tunayo yaona. Wachambuzi wazuri waliona...
3 Reactions
2 Replies
94 Views
Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
5 Reactions
32 Replies
379 Views
Wakuu nimeota hivi "Nilikuwa mimi na marafiki zangu tukitembea njiani pamoja tukafika sehemu tukakuta kuna hitilafu ya nyaya za umeme. Tukashauriana tupande juu ili turekebishe nyaya tukajaribu...
1 Reactions
0 Replies
198 Views
Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo...
1 Reactions
24 Replies
389 Views
Huu ndio ukweli nyakati zimeipita ccm ! Kwasasa haipendwi na haitakiwi na rais wasasa ndio kabisaaaa hasomi mchezo kwamba nayeye ni sehemu ya tatizo. Kuiponya Tanzania ni kuiondoa ccm basi.
1 Reactions
3 Replies
71 Views
Naomba kusikia kutoka kwa watu wengine ambao labda wamepitia maumivu makubwa ya kupoteza wapendwa wao au kuona ndugu zao wakiteseka hospitalini. Mliwezaje kukabiliana na hali hiyo? nimekuwa...
23 Reactions
259 Replies
2K Views
kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini: https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/ Nakiri...
1 Reactions
3 Replies
103 Views
Mbaka dakika ya 24 muda wa hydration break Spain anaongoza bao tatu mtungi.
2 Reactions
2 Replies
85 Views
Wale jamaa navyowajua kwa kupiga msosi wanaweza kwenda zaidi ya mara kumi na kusababisha mgahawa ufungwe kwa ajili ya hasara.
6 Reactions
11 Replies
374 Views
Habari wanajf, Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi? Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo...
1 Reactions
16 Replies
136 Views
Najihisi kama gari lililosimama katikati ya jangwa. Mafuta hayajaisha, safari haijaisha, na ninajua ninakoelekea. Ila kwa sasa hakuna kelele za kunisukuma, hakuna shangwe za kunitia moyo, wala...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Nikisema nataka kujifunza udereva kwa kuwa Tingo hivyo nina safari za mara kwa mara za nje ya nchi... Sababu hii inaweza kuwa sehemu ya mimi kupata hati ya kusafiria?
0 Reactions
6 Replies
105 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…