Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimeeleza kuwa bado kuna changamoto katika ushughulikiaji wa mashauri ya ukatili wa kijinsia katika ngazi za upelelezi, jambo linalokwamisha...
Wakati wengi wakizungumzia maendeleo ya Afrika Mashariki, mara nyingi husahaulika kwamba Zanzibar ilikuwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kabisa Afrika kupata umeme mwaka 1888 chini ya utawala wa...
Historia ya Afrika imejaa simulizi za utajiri wa rasilimali, lakini pia simulizi za kuporwa kwa rasilimali hizo. Mara nyingi lawama zote hupelekwa kwa mabeberu wakoloni na makampuni ya kimataifa...
1. Baada ya mbunge mteule wa Rais kutoka Zanzibar, kumshambulia VP Mtanganyika Kwa kumuita Yuda, wabunge wa Tanganyika hawakupiga makofi
Hii ni hisia kuwa Watanganyika wamestuka na kuanzia...
Mimi nakumbuka kipindi nanyonya kuna mama alikujaga kwetu na watoto wake mapacha wa kike wakawa hawataki kunyonya yule mama akamtishia mwanae usiponyonya nampa kaka anyonye kimzaha nikanyonya hadi...
Mawaidha ya leo kwenye moja ya misikiti yamenikera sana. Shehe alitumia sana neno mayatima, hili ni neno baya na nimemwambia akaanza kunionesha aya zinazotaja mayatima nikamwambia shehe acha...
Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu
Ila maeneo ya Mashariki huko...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi ya watu maarufu na wasomi mbalimbali hapa Bongoland, mijadala hiyo inaonesha kuwa watu wengi hudhani mtu kutumia lugha ya kiingereza inakuwa ndiye mwenye akili...
Naomba niwakutanishe hawa ndugu walipoteana tangu wadogo:
Mashahidi (JW)
Wasabato (SDA)
Wamormoni (LDS)
1) Makao Makuu
2) Viongozi wa juu
3) Ubatizo
4) Vitabu
5) Wamishonari
6)...
Baba wengi Sasa hivi wanafanya kazi kwa bidii sana. Wanaondoka alfajiri, wanarudi usiku. Wanahangaika, wanajitaidi, ili familia isikose chochote.
Baba hawa wanajenga nyumba, wanalipia karo...
Tabia yoyote hapa duniani hutengenezwa au watu hujifunza na mwisho wa siku ndio inakuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku.
Leo ningependa kuzungumzia kuhusiana na kujenga tabia ya kuweka akiba...
130+
Very Superior / Gifted
Top 2%
High IQ
120–129
Superior
Top 9%
High
110–119
High Average
Top 25%
Above Average
90–109
Average
25–75%
Typical / Normal range
80–89
Low Average
Bottom 25%...
Katika nadharia ya mchezo (game theory), mojawapo ya mifano maarufu zaidi ni “mtanziko wa wafungwa” (Prisoner’s Dilemma).
Mfano huu unaonyesha jambo la msingi: mataifa au watu wawili wanaweza...
TAFAKURI.
Saba Saba ni Sherehe ya Kitaifa, Sio Siku ya Vurugu na Maandamano Haramu
Tarehe Saba mwezi wa Saba ni siku takatifu katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii ni siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.