Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

We unaonaje kupost kitu halafu usipate hata reply & comment hata moja?
1 Reactions
6 Replies
67 Views
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limesema kuwa Mwananchi mwenye changamoto na malalamiko yoyote kuhusu huduma zao anatakiwa kufika ofisini au kuwasilisha malalamiko yake kwa njia ya kuwasiliana na...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Ukiwa kijana, kushika mshiko wa kwanza maishani ni kama kupata uchawi fulani hivi unaokufanya uhisi una uwezo wa kununua mtaa mzima. Lakini bila kujitambua, unajikuta unafanya makosa ya kijinga...
11 Reactions
37 Replies
772 Views
Kuridhika na kazi si swala la mshahara pekee. Tafiti mbalimbali zimeendelea kuonesha kuwa mambo kama vile viwango vya msongo wa mawazo, usawa kati ya kazi na maisha binafsi, ubora wa uongozi, na...
1 Reactions
0 Replies
166 Views
Taratibu, sikufundishi ujichukie, siangushi hadhi yako ila naamini unaelewa nachomaanisha. Ok walituita nyani, Lakini twende na ukweli mwafrika mwenzangu, Ebu angalia mambo tunayofanyiana namna...
3 Reactions
1 Replies
95 Views
Ukimuona mtu wa miaka 35, 40 au 50 anasema mimi hizo club nilishaacha zamani usiamini haraka. Mara nyingi si kwamba hataki kwenda, bali mwili unagoma tu. Mimi tu mwenyewe nina miaka 30 tu, lakini...
2 Reactions
23 Replies
339 Views
Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi. 1.Nchi...
3 Reactions
5 Replies
179 Views
Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa...
11 Reactions
86 Replies
3K Views
Tanganyika Law Society 2 hrs · Dear Member, It is with deep regret that we inform you of the untimely death of our TLS member Advocate Yassin Membar, Roll number 1281 who passed away today 20th...
1 Reactions
245 Replies
45K Views
Nakumbuka ilikuwa Jumapili ya mwisho ya Oktoba, 2009, siku hyo ilikuwa ni siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Siku hiyo muungwana mimi nilipanga kujitoa uhai kisa na mkasa cha kutaka kujitoa...
21 Reactions
57 Replies
6K Views
My people, Siku ya Valentine haifai katika mtazamo wa kiislamu kwa sababu kadhaa zinazotokana na mafundisho ya Qur’an na Sunna. Hebu tuangalie kwa undani: 1. Asili ya Siku ya Valentine Siku ya...
3 Reactions
12 Replies
397 Views
✨ "Amani hujengwa kwa hekima, huvunjwa kwa hasira; maendeleo hujengwa kwa umoja, si kwa migawanyiko." ✨ Ndugu vijana, ninyi ndio nguvu, tumaini na kesho ya taifa letu. Msikubali kushawishiwa...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari. Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa. Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
1 Reactions
1 Replies
91 Views
Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano. Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota...
2 Reactions
4 Replies
114 Views
Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL. Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL. Picha Mpya ya Mwanaume Tundu...
23 Reactions
109 Replies
1K Views
Hii ina maana gani? mtu""kukaribishwa,,,chakula hujashiba lakini unasema nimeshiba tabia hii naiona mtu ana njaa akikaribishwa chakula anasema kashiba!!! NAWAKARIBISHA WOTE KWA MCHANGO
4 Reactions
24 Replies
295 Views
Naombeni msaada ndugu zangu, Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari. Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
1 Reactions
36 Replies
436 Views
Nimefanya kazi ila sio jambo la kuweka wazi. Maana kuna mambo yanaweza na yaliweza kufanyika mpaka ugaidi wa kulipua ubalozi wa USA ni wazi TISS ilishakifuga pale. Kenya walijiongeza na...
1 Reactions
4 Replies
170 Views
Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo...
24 Reactions
105 Replies
15K Views
Back
Top Bottom