Huu ndio ukweli nyakati zimeipita ccm ! Kwasasa haipendwi na haitakiwi na rais wasasa ndio kabisaaaa hasomi mchezo kwamba nayeye ni sehemu ya tatizo. Kuiponya Tanzania ni kuiondoa ccm basi.
Naomba kusikia kutoka kwa watu wengine ambao labda wamepitia maumivu makubwa ya kupoteza wapendwa wao au kuona ndugu zao wakiteseka hospitalini. Mliwezaje kukabiliana na hali hiyo?
nimekuwa...
kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini:
https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/
Nakiri...
Habari wanajf,
Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi?
Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo...
Najihisi kama gari lililosimama katikati ya jangwa.
Mafuta hayajaisha, safari haijaisha, na ninajua ninakoelekea.
Ila kwa sasa hakuna kelele za kunisukuma, hakuna shangwe za kunitia moyo, wala...
Nikisema nataka kujifunza udereva kwa kuwa Tingo hivyo nina safari za mara kwa mara za nje ya nchi...
Sababu hii inaweza kuwa sehemu ya mimi kupata hati ya kusafiria?
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali ya mabasi mawili kugongana katika kata ya Nyamigota, mamlaka ya mji mdogo Katoro mkoani Geita.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na...
1. Chama husika hakina uhusiano wa asili na TANU,chama hiki kilianzishwa 7/7/1954
2. Ukinzani wa malengo.TANU kilipigania uhuru wa Tanganyika,Chao kuleta vurugu na umwagaji wa damu.
3. Wajumbe...
Kuna uzi nimuuona unahusu
Nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Kagera”
Nikajaribu kupitia nikaona analysis iliyofanyika ni yakitoto!
Wakati nimeandaa madini yangu kumuelimisha huyu jamaa nikaambiwa...
Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu.
Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo...
Kwa kweli niwapongeze na awamu ya sita huduma ni nzuri nzuri sana.na kwa kweli mnatusaidia sana. Tunasafiri raha mustarehe.
Kidogo naomba mnisaidie na maoni.
Adhabu ya kubadili tarehe kwa...
Nawasalimu Kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Lengo kubwa la maandamano yaliyoratubiwa na TEC pamoja na CHADEMA ilikuwa kuvuruga uchaguzi wa Raisi. Wabunge na madiwani Ile OCT 29
Watu...
Ni kitabu ambacho ukikisoma utaona njia za kiuchumi na kijamii ambazo ni za usawa na ujuimikaji wa pamoja bila ya kuwa na matabaka ila kiuhalisia hiki kitabu ni silaha ya tabaka kuu ambalo ndio...
“Enyi mlioamini! Inapoitwa Swala siku ya Ijumaa, nendeni kumkumbuka Mwenyezi Mungu…” (62:9)
Kila muislam anatakiwa inapofika wakati wa swala utapofiks tuache kila kitu tukimbilie msikitini.
Kama...
Kwa miaka mingi, imekuwa kawaida kuona Mother's Day ikipewa uzito mkubwa, huku Father's Day ikipita kimya kimya kwa watu wengi.
Lakini safari hii nimeona jambo tofauti; watu wengi zaidi...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimeeleza kuwa bado kuna changamoto katika ushughulikiaji wa mashauri ya ukatili wa kijinsia katika ngazi za upelelezi, jambo linalokwamisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.