Hivi kuna Buffet mkoa wa mara?

Hivi kuna Buffet mkoa wa mara?

pale Musoma mjini mbiona kuna Mara dishes na tunakula na kusaza
Mara chakula siyo issue, hatunaga mawazo nacho kipo tu
hatnaga budget ya kula yaani kipo tu
harusini nikialikwa naenda na marafiki hata kumi kunisindikiza mimi mwalikwa
na wote tunakula na kusaza
level ya kuwazia msosi tushatoka huko
Mara dishes ana buffet kumbe ?
 
pale Musoma mjini mbiona kuna Mara dishes na tunakula na kusaza
Mara chakula siyo issue, hatunaga mawazo nacho kipo tu
hatnaga budget ya kula yaani kipo tu
harusini nikialikwa naenda na marafiki hata kumi kunisindikiza mimi mwalikwa
na wote tunakula na kusaza
level ya kuwazia msosi tushatoka huko
Aelewe neno tunakula na kusaza
Nazani ameelewa
 
Back
Top Bottom