Tuwe wakweli ccm haipendwi na haitakiwi kwasasa.

Tuwe wakweli ccm haipendwi na haitakiwi kwasasa.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,467
Reaction score
42,605
Huu ndio ukweli nyakati zimeipita ccm ! Kwasasa haipendwi na haitakiwi na rais wasasa ndio kabisaaaa hasomi mchezo kwamba nayeye ni sehemu ya tatizo. Kuiponya Tanzania ni kuiondoa ccm basi.
 
Wakati mwingine kujilisha upepo siyo ishu,
Ishu ni matokeo baada ya kujilisha huo upepo!
 
Mambo yaliyoiharibia ccm na Samia akayafumbia macho;
Utekaji
Wizi wa kura uliokithiri
Uonevu Kwa lisu.
 
Back
Top Bottom