Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma imetoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa miundombinu ya barabara kushiriki kikamilifu katika kulinda na...
Ilikuwa ikionekana kupitia namba 290, ila sasa ni Wiki ya Pili haionekani tena na sijui tatizo ni nini.
Wazalendo wa Kweli wa Tanzania tuliopo nje ya mipaka yetu huwa tunapenda Kuifuatilia...
Aisee mi nasema bwana ni kwamba mwaka huu mwanzoni nilipata mchongo wa kuwekeza sehemu kwenye kilimo.
Nikachukua hela sehemu milioni 60 nikaanza kilimo, nimeambulia hasara ambayo sitakuja...
Ni miaka 72 tangu Taifa la Tanzania (Tanganyika & Zanzibar) kukombolewa toka kwenye "utumwa" a.k.a Ukoloni mkongwe.
Kama mna ubavu kweli anzisheni harakati za kulikomboa Taifa kutoka kwenye...
Ninaandika kuwasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu kupotea kwa mzigo wangu nilioutuma kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kupitia Kampuni ya Katarama.
Mnamo tarehe 14 Juni 2026, niliagiza simu...
Huu mtindo wa Bar nyingi kuwatumia wanawake/ mabinti barmaids kwa kuwavalisha mavazi ya aina fulani ili wawe kama chambo/ kivutio cha biashara zao kingono una tofauti gani na uendeshaji madanguro...
Braza acha kuvaa sox iliyotoboka kisa familia, mbona watoto na mama yao unajibana unawanunulia nguo. Kwa nini wewe hujifikirii, au unadhani hapa upo kwenye mazoezi ya kuishi ili ukaishi mahali...
Habari ya hasubuhi
Ili Tanzania ipate maendeleo ya kweli kuna mambo yanatakiwa yafanyike.Mfano kipindi cha miaka tu tumekopa zaidi ya Trioni 54 lakini ukiangalia miradi ya utekelezaji unaona...
Tuna Wabunge 393 wakikatwa laki 2 tu! kwa mwezi kwenye mishahara yao kwa miaka 5 ni sawa na Bilioni 4.716 hii ni fedha inajenga Zahanati 15 + au Vituo vya Afya 4 Vifaa Tiba Pamoja na Madawa...
Licha ya wateja kulalamika kuhusu matapeli wa biashara mtandaoni lakini pia kuna wateja matapeli.
Kuna rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo sasa kuna siku akapata Delivery Kimara Temboni...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Umma nchini kuunganisha huduma wanazozitoa kupitia mifumo ya Serikali ya...
Mimi sina maneno mengi ya kuandika ilaa nina huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetishia kuandaa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kushinikiza serikali kufufua mchakato wa Katiba Mpya na kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa...
Masikini wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaaminisha jamii kuwa ni matajiri, kwa kununua vitu vya anasa anasa visivyo zalisha; mfano, masikini atapambana sana kununua nguo za gharama, mikufu...
Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi.
Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri.
We ukitaka kujua...
Muda huu unatafuta usafiri urudi nyumbani baada ya kazi ngumu kutwa nzima, umevumilia matusi ya boss na kejeli za wafanyakazi wenzako. Pamoja na yote lakini umeamua kuvaa tabasamu ili urejee...
Kwa hapa Africa maeneo mengi yenye muonekano mzuri ni maeneo ya mijini. Hapo kwenye miji yetu kidogo utakuta kuna mitaa ya kishua, kuna town centre iliyokaa unyama, yani miji yetu huwa na baadhi...