Nafasi niliyoacha hapo juu ni kwa ajili ya salam
Tanzania kuandamana kwa sasa ni hatari kwa sababu lazima upate madhara ,wazazi na walezi waase watoto wenu kila mmoja anaona kila kitu...
Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk...
Hii vita ya U.S vs Iran imetuonyesha wazi madhaifu makubwa ya Jumuiya za kimataifa kama U.N na wengineo wanaofatia coz kwa miaka mingi Sana toka vita vya pili vya dunia kuisha mwaka 1945 na...
Wakubwa hawakosei na Jumapili njema. Nimeamka na bandiko lenu wakuu. Nimejiuliza kwanini wana Jf wanatumia ID's za kificho. Na tabia mojawapo ya introverts ni kufanya vizuri anapokuwa peke yake...
Habari za muda huu wanajamvi,
Kuna jambo huwa linanifikirisha mara kwa mara,hivi katika kipindi hiki ambacho teknolojia imeendelea kukua kwa kiwango kikubwa, je, haiwezekani serikali pamoj na...
Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana
Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwajulisheni ya Kuwa Mwenezi Wa CCM Taifa hana Ratiba ya kufanya ziara ya kichama sehemu yoyote ile Nchini baada ya kutokewa kwa Katazo na zuio la mikutano yote...
Online Scam
1. Phishing
unapata email Dear Customer account yako itafungwa ndani ya dakika 30. Wewe unaogopa, unaingiza password... dakika mbili baadaye akaunti si yako tena.
2. Fake Giveaway...
Na Mwandishi Wetu
Zanzibar. Benki ya Exim Tanzania imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) unaojulikana kama Exim...
Kuna sifa moja ambayo ukiikosa kwenye hii dunia ya sasa, utakuwa mtu wa kulia kila siku na maisha yatakupiga ngumi za chembe bila huruma. Sifa hiyo sio mtaji mkubwa wa pesa, sio kuwa na digrii...
Pale bungeni unasema mmekamata silaha na madumu ya mafuta wakijipanga kuchoma moto siku ya maandamano.
Hizi kauli mnaongea mkiwa chumbani kwenu au mkiwa mpo bar.
Sio mara ya kwanza kumsikia...
Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali.
Dkt. Mwigulu ameyasema...
Haya ni maneno kutoka kwa USTAZ JUMA MANUSOMA kutoka kwenye page yake ya mtandao wa kijamii Tik tok anasema
"Huu msikiti unaitwa Masjid Shafii. Nimewahi kuwa imamu na sheikh katika msikiti huu...
Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu...
Wananchi wa mitaa mbalimbali eneo la Kimara Stop over, Kata ya Kimara Wilaya ya Ubungo wameanza kupata huduma ya majisafi baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...
Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA
Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga...
Kwanza hongera JamiiForums yetu na wadau pamoja na machawa wa CCM.
Ila kuna kitu kimenifanya kujua jamiiforum ina wafikia na waliopo huko CCM na kuona wajipange vipi.
Jambo ambalo...
Aliwahi kuulizwa " Kwanini huna mtoto Hadi sasa hivi?" Akajibu " Siwezi kuleta binadamu aje kuishi kwenye duniani hii yenye kutawaliwa na waovu na kila aina ya uovu. Kwa kufanya hivyo nitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.