Maadui wakubwa wa Gen Z

Maadui wakubwa wa Gen Z

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
546
Reaction score
1,081
1. VIBURI
Wamejaa Dharau Na Ujuaji kwenye kila kitu Hawataki kuelekezwa wala kurekebishwa

2. UVIVU
Hawapendi Kazi Wana Excuse Nyingi kila Siku kwenye kila kitu

3. TAMAA
Hawapendi Process Wanapenda kila wanachokita wakipate muda Huo Huo

4. STAREHE
Wanapenda Bata Sana Kupita kiasi Muda Mwingi Wanatikisa viuno Tiktok na Snapchat na Kumbi za Starehe

Gen Z Mbadilike
 
Back
Top Bottom