Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Moja kwa moja. Kwa utafiti usio rasmi ; Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia...
8 Reactions
91 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma lingependa kutoa taarifa ya mwendelezo wa uchunguzi wa kifo cha Suezi Dani Maradufu kilichotokea Julai 1, 2026 katika nyumba ya kulala wageni Ntahamba mkoani Kigoma...
0 Reactions
5 Replies
145 Views
Kituo cha afya cha Magoma wilayani Korogwe mazingira yake sio safi Wala salama kwa jamii inayohudumiwa kwenye kituo hichi. Wagonjwa wanalalamika hali chafu ya mazingira ya kituo, mda wa kazi...
2 Reactions
1 Replies
98 Views
ZINGATIA HAYA ALFAJIRI. KIJANA JINSI ZOTE. Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Nasikiia watu wanatumia sana hii kitu. Je inafaida zozote kwa afya ya binadamu? Naomba ushauri wenu.
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Watu ambao Mungu amewachagua kwa kusudi maalumu njia zao sio nyepesi mpaka kufikia hatma yao , Kuna kipindi cha kusemwa vibaya , kuna kipindi utapuuzwa , kuna kipindi watu watakusahau Lakini...
5 Reactions
6 Replies
90 Views
Mfumo dume ni mfumo wa Kihistoria unaoelezewa kwa upande mmoja (Mbaya) hivi leo, kwenye kizazi chenye kulea na kuendekeza huruma kimatukio, kuna upande wa Mfumo huu haukusimuliwa ndio maana leo...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Wwngi mmeaminishwa nyerere alikuwa mtakatifu ,mfano wa kuigwa. Ila niwaambie ukikaa na wazee waliopitia shuruba za nyerere ndio utajua alikuwa hafai. Kwanza wakati wa vita ya kagera kuna tajiri...
1 Reactions
12 Replies
214 Views
Leo nimekumbuka hadithi ya Samson na Delila. Sisi wanaume kwenye utafutaji kuna mda kinyume na sheria labda ushirikina, kuishi na misukule, wizi, madawa, utapeli, ufisadi na n.k Ila wanaokuja...
6 Reactions
14 Replies
337 Views
Salaam. Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama...
7 Reactions
20 Replies
436 Views
Inasikitisha kuona gereji za magari zikifunguliwa holela kwenye maeneo ya makazi. Toka Dar, Arusha, Mwanza, hadi Mbeya. Zinavunja kuta za majirani, zinatupa mafuta na taka ovyo, zinaleta kelele...
1 Reactions
3 Replies
78 Views
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) akiwasilikiliza watumishi wa Mamlaka ya Rufani alipotembelea banda la PPAA kwenye kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
  • Featured
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Pole Afrika yangu,Yaani timu tisa zimeingia LAKINI zilizio fanya vizuri zile za waarabu tu Kila kitu kwetu kibaya 1. Magonjwa ya kuambukiza HIV Aids Ebora 2. Vita na ufisadi DRC, sudan,Central...
4 Reactions
4 Replies
185 Views
ushauri wa kitaalamu kuhusu Mawazo Vamizi, Harm OCD/Intrusive Thoughts. Naomba miongozo ya madaktari na wale walio na uelewa. Habari za majukumu wana-bodi. Kabla sijaenda mbali, naomba niweke...
6 Reactions
48 Replies
533 Views
Tabia zako zinakufanya wewe, Ukweli usio na huruma 😔 "MAISHA YAKO LEO NI MATOKEO YA TABIA ZAKO ZILIZORUDIWA MARA NYINGI" Kuna mtu aliamua kuweka akiba TSh 2000 ikajirudia mara 1000 mwisho akawa...
1 Reactions
1 Replies
96 Views
UTEKELEZAJI WA ADA YA UENDELEZAJI WA MIUNDOMBINU YA BANDARI Jumatano, 01 Julai 2026 DAR ES SALAAM Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inapenda kuujulisha Umma kuwa mnamo tarehe 1...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), akidai yamelenga...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Baada ya Waziri wa Fedha kuwasilisha Bajeti ya mwaka 2026/27, Serikali imeongeza kodi ya excise duty kwa magari kulingana na uchakavu wake, ambapo ongezeko ni kati ya asilimia 5 hadi 10 kulingana...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…